MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Ni nani aliyekudanganya kuwa sifa ya CHADEMA ni kukosa UMAKINI na sifa ya CCM ni kuwa MAKINI?Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Nyinyi wote ni watoto.. Historia ni mwalimu mzuri sana! KANU ya Kenya ilipokuwa madarakani, ilikuwa kama CCM inavyofanya sasa. KANU iko wapi leo! nani alidhani KANU ingelikufa? Hivyo hivyo chama cha Kaunda Zambia? UPC ya Obote iko wapi?etc, etc, etc. Unadhani leo CCM ikitoka madarakani kitatokea nini kwa "uthabiti" wa CCM, ! Nyinyi ni watoto hamsomi historia ya haya mambo!Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Hata mimi nafikiri ni yeye ila nasikia Ofisi Ndogo Lumumba ndio haimtaki ingawa kaishabembeleza sana!Mtoto wa kiume aache mafumbo mafumbo. Anaposema "bado rafiki yake mmoja" ana maanisha kuwa bado yeye au?
Sasa wewe akili yako iko wapi? Kama huoni lolote baya ndani ya CCM, mtaji wa akili yako nauwekea mashaka. kama umesikia kauli za Mkapa juu ya CCM , nadhani akili yako igelikuwa imeshakuwa mtaji!Akili ni mtaji ukiitumia vizuri; tatizo unapoitumia vibaya, huangamiza nafsi.
Tafakuri kwa kila jambo hujenga nafsi, ila hamaki na mihemuko, hudhuru nafsi, na moyo hugubikwa na upofu. Wanayo heri walio wanyoofu, maana nafsi zao huishi zikinawili; kinyongo, gadhabu na fitina huwa mbali nao.Sasa wewe akili yako iko wapi? Kama huoni lolote baya ndani ya CCM, mtaji wa akili yako nauwekea mashaka. kama umesikia kauli za Mkapa juu ya CCM , nadhani akili yako igelikuwa imeshakuwa mtaji!
Nadhani atakua Diwani Bananga anayefuataRafiki yake ni nani kama sio yeye, kwa wanasiasa hakuna linaloshindikana.
Wasilinganishe KANU na CCM .KANU ilikuwa Chama Cha makabila makuu mwawili jamii za kijaluo na jamii za kikikuyu .walipogombana kila kabila likaamua kuanzisha chake.Wajaluo akina Raila odinga kwao na wakikuyu kwao.Kanu ikabakia na vikabila vidogo vya Kenya.Nyinyi wote ni watoto.. Historia ni mwalimu mzuri sana! KANU ya Kenya ilipokuwa madarakani, ilikuwa kama CCM inavyofanya sasa. KANU iko wapi leo! nani alidhani KANU ingelikufa? hamsomi historia ya haya mambo!
Hizi quotations zako hazina objectivity ni viswahili masikini ambavyo wahaya hamna itikadi navyo, maana wahaya kiswahili si lugha yenu! Nawajua fika tena fika sana sana!Tafakuri kwa kila jambo hujenga nafsi, ila hamaki na mihemuko, hudhuru nafsi, na moyo hugubikwa na upofu. Wanayo heri walio wanyoofu, maana nafsi zao huishi zikinawili; kinyongo, gadhabu na fitina huwa mbali nao.
Yehodaya unakosa objective analysis! Sasa makabila hayo yamekufa? The issue is KANU ilikuwa na "nguvu" kama CCM, kwanini ilikufa? Watu walifuata kula/njaa /maslahi mle, baada ya kula kuisha ikasambaratika. CDM hawana pesa, hawana Jeshi, hawana askari, hawana majumba, hawana magari ya kutanua/kustarehe, hawana magereza, hawaitwi waheshimiwa, hawafanyi miktano, wanafungwa kila leo, wanapigwa risasi etc, etc LAKINI BADO CCM inaiogopa CDM kufanya nao uchaguzi wa haki! Unafikiri ukiweka uwanja sawa, CCM itasimama? Jiwe anajua ndio maana nguvu zake zote ziko kuiua CDM na si TLP, CHAUMA, ACT and the like parties!Wasilinganishe KANU na CCM .KANU ilikuwa Chama Cha makabila makuu mwawili jamii za kijaluo na jamii za kikikuyu .walipogombana kila kabila likaamua kuanzisha chake.Wajaluo akina Raila odinga kwao na wakikuyu kwao.Kanu ikabakia na vikabila vidogo vya Kenya.
CCM sio Chama Cha Cha kikabila wasilinganishe na KANU
Anaechukia rushwa, wizi, unyanyasaji, uongo, gilba na ukandamizaji atahama........... kwenda.............Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Walau umetumia neno "quotations" nadhani ungetumia tuu neno "nukuu" maana sioni maana ya kandika vijineno vya wale wakati msamiati na istilahi za kiswahili vipo vya kutosha. Itoshe tuu kusema, ukikosa hoja utajibaraguza kwa kushambulia makabila, umbile, rangi, n.kHizi quotations zako hazina objectivity ni viswahili masikini ambavyo wahaya hamna itikadi navyo, maana wahaya kiswahili si lugha yenu! Nawajua fika tena fika sana sana!
Hivi unahama chadema Na kwenda ccm, tofauti ni nnKiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.