Naona Lema yuko addicted na chopa,hivi hiyo chopa ndio ile aliyopiga nayo picha katika ziara yake ya UK kumtembelea mayor au ndio michango ya M4C? Ukombozi bila chopa unawezekana..
Copy to Mwita Maranya,
mkuu kamanda bananga yupo wapi..?
Mbona baada ya chaguzi za udiwani sijamsikia..?
Nae angefaa sana kwenye hicho kikosi
Mkuu Ritz,nahisi manake kwenye kuchangia M4C Serena Hotel Dar Lema alisema anatamani ifike kabla ya x mas labda mayor katimiza ahadi kwa mapenzi yake aliyonayo kwa wakombozi wetu.Mkuu ndio hiyo atakayeitumia Bunda?
Mkuu Ritz,nahisi manake kwenye kuchangia M4C Serena Hotel Dar Lema alisema anatamani ifike kabla ya x mas labda mayor katimiza ahadi kwa mapenzi yake aliyonayo kwa wakombozi wetu.
Zitto kabwe ni wa mhimu zaidi ya lema lakini kwa kuwa si mchaga chopa ataiskia angani, duh........ Hawa watu wana ubaguzi sana
Chadema hivi kwa nini mnapoteza bure pesa mlizowachangisha Wananchi bure kumnunulia Lema Chopa hivi Lema, na Zitto nani anatakiwa atumie Chopa.
pumba...........akili ina waduduChadema hivi kwa nini mnapoteza bure pesa mlizowachangisha Wananchi bure kumnunulia Lema Chopa hivi Lema, na Zitto nani anatakiwa atumie Chopa.
ester wassira nae tunaomba aongezwe kwenye list tafadhali,atasaidia kuhamasisha wakinamama..na pia she is the most lykly person from chadema wakugombea 2015 hilo jimbo.
|