mbona uko out of date,we hujawahi kuskia kamanda wa anga ambae ni Mbowe na jeshi lake,pia kuna jeshi la ardhini..kwaio they know what they do!
Tukisikia ndio lazima tufanye..CDM Operesheni moja haijaisha mumerukia Operesheni nyingine
mbona uko out of date,we hujawahi kuskia kamanda wa anga ambae ni Mbowe na jeshi lake,pia kuna jeshi la ardhini..kwaio they know what they do!
Lema kweli ni mtu wa kuchungulia dila juzi tu mmchangisha pesa Mwanza mara tu kazusha mradi; Bunda hata aende na mkwewe hakuna atakachoambulia! mwita chungulia dili hilo ulaji mtupu hapo!!
torokoko, mpenda amani, Mwanza Chadema walikuwa na malengo ya kuchangisha bilioni 3 hatimaye wakapata milioni 4 na ahadi milioni 20.
Tukisikia ndio lazima tufanye..CDM Operesheni moja haijaisha mumerukia Operesheni nyingine
Kweli Chadema kuna mapimbi wengi huyu Lema kila baada kuchangisha pesa ndipo anapovumbua hizi M4C; nakumbuka baada ya kuchangisha Dar alijipa safari ya UK kutafuta chopa hivi hapo Chadema hakuna viongozi wengine! Mbona hatuwasikii akina Mnyika; sasa ndio naamini maneno ya yule mwalimu Mwanza alieyetangaza kujitoa Chadema; mkuu Ritz nakumbuka ule msemo wajinga ndio waliwao!
Ni aibu watu wa Mwanza kuchangishwa na Lema kwani Mwanza hakuna wana Chadema ambao wangeongoza kuchangisha. Kwanza Lema hana cheo chochote.
Mbona uzi umekuwa wa torokoko na Ritz1 tu mnajibizana kama mnaimba taarabu? Ukiona unaongea peke yako ujue wenye akili wamekupuuza.

kelele za mwenda wazimu hizo!! akmtoe papa Vatican? Kweli Lema chizi
Wakati mwingine uweunatumia akili na uwe unaposti vitu vyenye akili basi na utunge hoja yenye akili ili uonekana mwenye akili kila siku kuposti pumba ili ujaze post kila siku chuki na chadema chuki na Lema amekuchukuliaga dada yako nini
twanga kotekote mkuu.Tukisikia ndio lazima tufanye..CDM Operesheni moja haijaisha mumerukia Operesheni nyingine
torokoko, mpenda amani, Mwanza Chadema walikuwa na malengo ya kuchangisha bilioni 3 hatimaye wakapata milioni 4 na ahadi milioni 20.