Godbless Lema kumchakaza Wassira kwa Helicopter

Kwani mkuu kulikuwa na umuhimu gani Lema kuchangisha Mwanza wakati kina Wenje wapo. Inawezekana ndiyo sababu wakazi wa Mwanza wakasusia kuchanga pesa.

kwani kuchangisha pesa kuna kanuni kwamba kila mtu achangishe kwenye jimbo lake hivyo kulikuwa hakuna sababu ya dar kukubali kuchanga kwani Lema alikuwepo na akawa anachangisha ukitaka kusema hivyo unakosea ina maana chadema hawataenda kwenye majimbo ya wabunge wa magamba na kama wanaeda unataka kusema ili wanachi wa jimbo hilo wachange watataka mbunge wao achangishe pesa ndiyo watatoa Mwanza kama walishindwa kutoa ili lengo lifikie waseme siyo kumsingizia Lema mbona Arusha Ndesapesa alichanga nakuchangisha mbona Arusha awakugoma acheni chuki binafsi na Lema!!!
 
Lema ameshawasili Bunda na leo anaanza kushambulia Bunda mjini.
 
Lema ametoka Bunda kama alinyopanga, lakini hakuna alichovuna. Matumaini yake kuua gamba na kuvika Watu magwanda umekuwa aibu kubws. Ukiondoa matusi ambayo. Yamezoeleka kusikika masikioni mwa Watu, katika mikutano ya chadema hakuna kitu cha maana kitakacho kumbukwa na wananchi aw Bunda zaidi ya kumuona Lema kuwa mwenda wazimu, unajua hata wendawazimu pia hukusanya Watu. Kuwasiliza kama burudani. Pole sana Lema. Utakachopata hapo ni posho ya kujikimu. Kutokana na kutokuwepo na ajira. Lakini kwamba utaifanya Bunda ikufuate ni ndoto ya mchana.
 
Back
Top Bottom