Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,399
Reaction score
2,601
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
 
Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁵ Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
²⁶ naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Anayaishi haya
 
Mungu adhihakiwi. Mh Lema ni miongoni mwa watu wachache wenye maono. Kawaonya wahusika kwa matendo yao yasiyompendeza Mungu. Wameshupaza shingo zao. Upanga wa Mungu umekuja ukapita nao.

Wako watu waliotekwa na kupotezwa, wahusika wamefurahia matendo ya ushindi wao wa kuwapoteza binadamu wenzao. Wasimamizi wa Mihimili wameonywa lkn wameshupaza shingo zao. Acha Mungu aitwe Mungu.
 
Mungu adhihakiwi. Mh Lema ni miongoni mwa watu wachache wenye maono. Kawaonya wahusika kwa matendo yao yasiyompendeza Mungu. Wameshupaza shingo zao. Upanga wa Mungu umekuja ukapota nao.

Wako watu waliotekwa na kupotezwa, wahusika wamefurahia matendo ya ushindi wao wa kuwapoteza binadamu wenzao. Wasimamizi wa Mihimili wameonywa lkn wameshupaza shingo zao. Acha Mungu aitwe Mungu.
Kwa hiyo Lema upanga wa kufa hautamhusu?
 
Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁵ Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
²⁶ naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Anayaishi haya
Kwa hiyo Lema hatakufa na kufukiwa chini?
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Labda yeye hawezi kufa😁
 
Nafirikiri hujawahi kumuelewa Lema, anachofanya ni kuonya tuishi maisha ya upendo bila kunyanyasa wengine kwa kutumia vyeo... kamsome tena
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
na wewe unamuamini? KIFO NI KIFO! kumtabiria mtu kifo nao ni utabiri? 😁
 
Lema ni nabii na ana upako wa kuona yajayo.

God bless Lema tuendelee kupata tabiri mbalimbali
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Haya tuambie Ndugai alitengeneza kikombe Au bakuli?

Kama Hujui tuliza matako yako.
 
Sidhani kama kakuzuia kumtabiria.

Acha tuendelee kujipatia tabiri mujarabu kutoka kwa nabii. Bahati nzuri anaowatabiria ni wale mashetani wanaojifanya miungu watu na kujipa mamlaka ya kuamua nani aishi na nani afe (na afe namna gani!).
 
Lema ni nabii na ana upako wa kuona yajayo.

God bless Lema tuendelee kupata tabiri mbalimbali
Ni sawa na kutabiri kesho jua litachomoza alafu unajiita nabii.
Ujinga mtupu

Kifo ni kwa kila kumbe
 
Back
Top Bottom