Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Wengine watasema kifo ni kifo hasa wanaoshangilia kwasasa vile vile nyota njema huanza nyumbani yaani mtoto umleavyo ndivyo awavyo

Charity begins at home 🏠
 
Mungu adhihakiwi. Mh Lema ni miongoni mwa watu wachache wenye maono. Kawaonya wahusika kwa matendo yao yasiyompendeza Mungu. Wameshupaza shingo zao. Upanga wa Mungu umekuja ukapota nao.

Wako watu waliotekwa na kupotezwa, wahusika wamefurahia matendo ya ushindi wao wa kuwapoteza binadamu wenzao. Wasimamizi wa Mihimili wameonywa lkn wameshupaza shingo zao. Acha Mungu aitwe Mungu.
Maono ya mavi
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Ukimwangalia Lema kwa matendo unaweza kuamini ni mpinzani na mbeba maono lakini ukijua kundi analolitumikia Wala huwezi kupata wasiwasi kwa sababu anakuwa na taarifa sahihi za kilicho pangwa kikapangika kikisubiri utekelezaji tu.

Na vyama vya upinzani vikiendelea kumuamuni na kumuingiza kwenye vikao nyeti wasitarajie maajabu.
 
Inasikitisha sana huyu Mcanada
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Uwe mwema au usiwe mwema tutakufa tu.Wema au ubaya si kigezo cha kuishi muda mrefu au mfupi.Kila mtu atakufa siku yake ikifika.Hoja ya msingi tutende wema tukubalike kwa Mungu
 
Chuki zako na Lema hazituhusu sisi
 
Naona watu wasiojulikana wameanza kulalamika. Nyie kuua watoto wa watu mnaona ila nyie kutabiriwa kufa mnapiga mayowe.
 
Uwe mwema au usiwe mwema tutakufa tu.Wema au ubaya si kigezo cha kuishi muda mrefu au mfupi.Kila mtu atakufa siku yake ikifika.Hoja ya msingi tutende wema tukubalike kwa Mungu
Lema hajui hilo
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Tulia dawa ya utabiri iingie
 
Jamaa ana mambo ya ajabu sana unafurahi vipi watu wakifa eti alitabiri, sasa sijui yeye ataishi milele ni ujinga tu unamaumbua
 
Yani jamaa anatabiri kitu ambacho kipo tu.
Ni sawa na kutabiri kesho jua litachomoza
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu

Naona unajichanganya. Lema hana uwezo wa kuuwa mtu yeye ni mjumbe tu unalaumu mtu ambaye sio muumbaji. Unajuaje kama kucheka kwake ni maagizo ya hao waliomwambia
 
Wakifa watu waovu fisadi wezi wababe wahuni mbogamboga ni furaha kwa taifa... Kifo ni kifo msitafute sympathy. Kafa kibao sembuse hao useless
 
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!

Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.

Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?

Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Na muda si mrefu atakinywea
 
We unayesema kifo hakijawahi kuwa adhabu umesoma wapi hayo maneno? Unajua hatma ya Kora na wenzake walipomsakama Nabii Musa kwenye Biblia? Mwenyezi Mungu aliwapa adhabu gani? Kawadanganye wasiosoma Biblia.
Siku Lema amekufa timu Mbowe watashangilia sana
 
Back
Top Bottom