Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,399
- 2,617
- Thread starter
- #41
Alafu anayetoa hiyo adhabu ya kifo yeye anaenda wapi?Kuna adhabu ya kifo lakini; ambayo inaaminika ndio the highest punishment!
Alafu anayetoa hiyo adhabu ya kifo yeye anaenda wapi?Kuna adhabu ya kifo lakini; ambayo inaaminika ndio the highest punishment!
Kumbe walipata pesa nyingi, ni mamilioni au mabilioni. Nani aliwapa hizo hela ????Mamilioni mengi mno
Fuatilia taarifa, usipende kutafuniwa kila kitu, utatafuniwa hata mkeKumbe walipata pesa nyingi, ni mamilioni au mabilioni. Nani aliwapa hizo hela ????
Mke ameingaje kaka mkubwa, jibu swali, unasema Lema alikimbia na hela, inaonekana unajua, je ni kiasi gani. ????Fuatilia taarifa, usipende kutafuniwa kila kitu, utatafuniwa hata mke
Nani kaka yako? Unalazimisha undugu?Mke ameingaje kaka mkubwa, jibu swali, unasema Lema alikimbia na hela, inaonekana unajua, je ni kiasi gani. ????
Unabii kutoka kwa Mungu haujawahi kuwa dhambiSiku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Haya, wewe Mtanzania ama mrundi usiye ndugu, eleza mamilioni aliyokimbia nayo Lema kwenda nje ni kiasi gani.Nani kaka yako? Unalazimisha undugu?
Kufa ni sehemu ya adhabu. Biblia inasema "mshahara wa dhambi ni mauti" halafu tena "wametenda dhambi, wote wamepungukiwa na utukufu".Kuna kiumbe asiye kufa?
Kama wote tutakufa, Ina maana wote tumeadhibiwa?
Kama ndivyo, nini faida ya kuwa mhongofu?
Ya kwake mwenyewe. Aliopiga mwamba ukatoa maji kimakosa.Na Mussa alikufa kwa adhabu ya nani?
Na wale ambao hawakupiga mwamba ukatoa maji waliishia wapi?Ya kwake mwenyewe. Aliopiga mwamba ukatoa maji kimakosa.
Huyo anayekuhukumu mwisho wake huwa nini?Kufa ni sehemu ya adhabu. Biblia inasema "mshahara wa dhambi ni mauti" halafu tena "wametenda dhambi, wote wamepungukiwa na utukufu".
Ukiachana na maandiko matakatifu, tuje kwenye hili:
Kama kifo hakiwezi kuwa adhabu, kwanini kuna adhabu/hukumu ya kifo kwenye mahakama zetu?
Unabii wa kijinga kabisa unatabiri kitu ambacho kinaweza kukutokea na wewe muda wowoteUnabii kutoka kwa Mungu haujawahi kuwa dhambi
Nani, Mungu? au Jaji anayehukumu mshtakiwa hukumu ya kifo?Huyo anayekuhukumu mwisho wake huwa nini?
Walikufa kwasababu "mshahara wa dhambi ni mauti" na kila mwanadamu alitenda dhambi pale bustanini Edeni (kupitia Adam na Hawa).Na wale ambao hawakupiga mwamba ukatoa maji waliishia wapi?
Eti anasema hivyoKwa hyo alitabiri kifo cha ndugai pia?
Tutolee ungese brooSiku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu