chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,325
Unamtetea mumeo?Nenda nae ukampikie huko Canada. Una Wivu kama wa mke mdogo na mke mkubwa.
Muovu akifa ni hero Kwa Dunia japo waziri pia hufa na kuacha pengo...

Kuna kiumbe asiye kufa?We unayesema kifo hakijawahi kuwa adhabu umesoma wapi hayo maneno? Unajua hatma ya Kora na wenzake walipomsakama Nabii Musa kwenye Biblia? Mwenyezi Mungu aliwapa adhabu gani? Kawadanganye wasiosoma Biblia.
Vifo vinatofautiana mkuu mtu anayefariki kwa kutekwa na kutobolewa macho ni tofauti na mtu ambaye amefariki kawaida wakati kina nape wanafurahia kifo cha magufuli ilionekana kawaida sasa hivi ni ubaya ubwela.Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Wala lema ajawai sema kwamba fulani anakufa .yeye huwaga anatoa mistari ya bible kama wew ndio utakuwa umeelewa vibaya au kama vip leta tweet tuone hapoSiku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Laana inawatafuna mpaka leo,Vifo vinatofautiana mkuu mtu anayefariki kwa kutekwa na kutobolewa macho ni tofauti na mtu ambaye amefariki kawaida wakati kina nape wanafurahia kifo cha magufuli ilionekana kawaida sasa hivi ni ubaya ubwela.
Kuna adhabu ya kifo lakini; ambayo inaaminika ndio the highest punishment!Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.
Asante sana kwa swali hiliNa Mussa alikufa kwa adhabu ya nani?
Mungu adhihakiwi. Mh Lema ni miongoni mwa watu wachache wenye maono. Kawaonya wahusika kwa matendo yao yasiyompendeza Mungu. Wameshupaza shingo zao. Upanga wa Mungu umekuja ukapota nao.
Wako watu waliotekwa na kupotezwa, wahusika wamefurahia matendo ya ushindi wao wa kuwapoteza binadamu wenzao. Wasimamizi wa Mihimili wameonywa lkn wameshupaza shingo zao. Acha Mungu aitwe Mungu.
Lema hata akifa hakuna tatizo, maana hajifanyi mungu mtu kama dhalimu magufuli na shetani ndugai.Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Sasa kama hayo yote unayajua huu uzi umeuanzisha wa nini ?Siku za hivi karibuni
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Ulimpa kiasi gani mkuu.Lemma kavuta hela kakimbia nazo Canada. Mchaga huyu hovyo sana
Hela zote za tonetoneUlimpa kiasi gani mkuu.
Watu kuwa hawajui formula ya kimuungu .lile uwandeao wenzako liwe jema au baya na hata wewe utalipwa hivyo hivyo.Kwa hiyo na kifo Cha Lema lazima watu watashangiliaSiku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Kumbe duuh hela zote kiasi gani sasa.Hela zote za tonetone
Acha kumtisha,yeye hatishi yeyote bali huwa anawakumbusha wanapo kengeuka tuu!Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema alishakaa na kujiuliza siku amekufa wafuasi wa Mbowe watasema nini juu ya kifo chake?
Watalia au watashangilia? Kifo hakijawahi kuwa adhabu kwa sababu kila mtu atakufa.Hata Lema siku akifa kuna watu watasema ni hasira za Mungu
Mamilioni mengi mnoKumbe duuh hela zote kiasi gani sasa.