Godbless Lema: Kesho narudi bungeni!

Bunge gani? Au umemsikia anasema anarudia BANGE?
 
Mbowe akimwacha Lema afanye utoto wa kutokuheshimu amri ya kiti cha Spika atakuwa amedhihirisha udhaifu wa hali ya juu...
 
bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo

kazi ya ccm ndio kama hyo kutoa mitusi. Kwan Tundu lisso kakosea nini na lema pia kakosea nini we ----?
 
Sisi kituo cha police central tunamsubiri kwa hamu lema kesho maana tutamkamatia getini na atakuwa selo hadi j3 tunampeleka mahakamani nalazima tutamkuta na kete alizotumia kwishneyy

Ukimaliza kuandika kachukue kopo ukachambe...
 
Sifa binafsi wamachinga arusha shida kibao amekalia mwongozo wa spika

Hizo shida kwani zimeanza leo?wao ndio watazimaliza? kwa taarifa yako shida zilikuwapo enzi na enzi toka CCM iliposhikilia jimbo la AR mjini so na wao cdm walizikuta na hawataweza kuzimaliza. Povu jiiingi la nini
 
Bangi mbaya sana...

Eti kikwete aende Arusha kwa Paspoti...
Mbona Katia maguu hapo mmebaki mnacheka cheka...
 
Kasauti kandugai utafikiri wamemkwida! Spika gani huyo? Mbona analidhalilisha bunge. Ndugai bado hajamaliza chuki za mwezi Januari na Lisu.
 
Ndugai bado anakinyongo na Lisu! Hawezi kumtoa kimabavu namna ile. Ndugai aache CDM wafanyekazi!
 
Lema hajui sheria sasa arirudi bungeni?? Bange za arusha hizo...na hata kama kuna unlimited kuwa lazima uongee tu,je? Kila mmoja nae akiamua afanye hivyo itakuwaje,bunge la demokrasia ni kila mmoja aongee sasa akiwa anaongea Lissu tu wabunge wetu watapataje? Nafasi ya kutuwakilisha sisi wengine au Tanzania ni Shinyanga mjini?
 
Sisi kituo cha police central tunamsubiri kwa hamu lema kesho maana tutamkamatia getini na atakuwa selo hadi j3 tunampeleka mahakamani nalazima tutamkuta na kete alizotumia kwishneyy

Kazi ni kazi jamani. Ukiwa kazini uko tayari kufanya lolote kwa ajili ya mwenye mbwa. Jabza za ndungai na ubabe havionekani? Aliyesema ---- you anapeta. Mwaka wenu huu poleni
 
bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo
Aisee shida za wananchi zinajadiliwa kwa mapana na marefu na mwigulu, lusinde, Nkamia, Serukamba et,.al
 
Toka lini cdm huwa mnakubali? Genge la wahuni nyie hamna mnchotetea wananchi maana mnatoa povu kwenye mambo ya kipuuzi mambo ya maana mnayaacha yapite bila kutoa ushirikiano
 
Mbowe akimwacha Lema afanye utoto wa kutokuheshimu amri ya kiti cha Spika atakuwa amedhihirisha udhaifu wa hali ya juu...

zaidi ya pinda alivyoshindwa kuwathibiti serukamba,mwigulu,lusinde na mkamia
 
Toka lini cdm huwa mnakubali? Genge la wahuni nyie hamna mnchotetea wananchi maana mnatoa povu kwenye mambo ya kipuuzi mambo ya maana mnayaacha yapite bila kutoa ushirikiano

Mkuu mambo ya maana yaliyoachwa na chadema yapite bila kutoa ushirikiano ni kama yapi?
 
bangi zinamsumbua tumewachoka badala kujadili shida za wananchi mmekalia kuonekana sifa za kishenzi,pumbafuuuu chadomo

kama umechoka kalale maana hata bongo zenv zimechoka mpaka mnasinzia mjengoni
 
Hili linaeleweka sana ndugu yangu. Tatizo umeingizwa ubabe bungeni, na upuuzi, na ujinga kwa sababu uongozi wa bunge ni dhaifu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hakiamungu ccm ni janga sana kwa Nchi yangu ya AMANI na UPENDO!
Haya haya ndiyo yalimsibu Gaddafi wa Libya!

Mwisho wa siku wale waliokuwa wanamwogopa na kumtii wakamchomeka kijiti nyuma, I can see it coming,...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…