MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
- Thread starter
-
- #141
Mkuu, unafikiri kamati kuu ya chadema inaweza kuunda tume kuchunguza haya? Haya yameshatupwa kapuni. Kuna watu chadema wako above the law.
Hizo sio tuhuma bali ni ukweli uliokaliwa kwa dhamira ya kulindana.Chama makini kwa watu wenye ulakini.hivi kumtuhumu LEMA ni DHAMBI?
mmmh!....tunapomshambulia MAMA POROJO kosa lake ni nini. hebu nisaidieni kuelewa!
Hata kiwanja cha hospitali ni rasilimali ya nchi.harambee za chadema ndo mwajua kuifutilia? Kinachowauma nn km sio unafiki na ushambenga rasilimali za nchi zinavuja kila kona hamsemi, kuchafua LEMA mfefulia labda mgeukie SHIBUDA atachafuka kirahisi. Masalia kajipangani na unafki mwingine
Hivi unaposema au unapoandika kuwa " Nimezisoma hizo nyarakafeki " Embu tuambie basi ufeki wake upo wapi? Nyaraka feki zina tabia zipi?Au unataka kutuambia kuwa majina ya hao watu si ya wakazi wa Arusha? Na kama si wakazi/wanachama wa CDM , ieleze jamii kuwa wanatoka sehemu fulani ambapo si Arusha. kama utashindwa kutujulisha ufeki unatoka wapi, basi utakuwa huna hoja. Au unataka kuwaambia Watanzania kuwa wewe ndie uliepewa jukumu la kuthibitisha vitu kuwa ni halali au si halali. LAKINI pia nakubaliana na wewe jambo hilo haliwezi kuiua Chadema, kwasababu sio "Fact " ni " opinon " USHAURI: WAKATI MWINGINE NI VYEMA UKAWA KIMYA.Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema! Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili! Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!
Mkuu hili nilisema sana kipindi kileeeee unajua tena wanazi wa CDM walivyo na mahaba na chama chao viongozi wao hawakosei,hawatakiwi kukosolewa wana sifa za malaika.
Naomba unukuu kelele hata moja uliyopigia CCM.
walioandika shutuma hizi ni wastaarabu sana kwa sababu walichoomba ni uchunguzi. Ingawa ni wazi kuwa CHADEMA makao makuu hawatafanya kitu, lakini makamanda wameteleza wajibu wao.
Hata ile helkopta aliyopiga nayo picha Uingereza na kusema imenunuliwa kwa pesa za M4C zilizochangwa dar es salaam mpaka sasa haijafika kwa walengwa!
hivi kumtuhumu LEMA ni DHAMBI?
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
Hata kiwanja cha hospitali ni rasilimali ya nchi.
Tunahitaji upinzani wa kweli nitaumia chadema ikienda kaburini. Vyama vingi ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na vinachochea maendeleo.
Tatizo chama kinaongozwa na mwenyekiti dhaifu na katibu dhaiifu unategemea nini? Wanachama nao dhaifu, hawaoni kitu hapo kwenye hizo documents.
Kajifunze kwanza kiswahili mbuge ndio nini? soma barua kampa mkewe ambae wewe ni wifi yako.kwa hiyo kaihamisha nyumbani kwake? Ndo maana nasema masalia mnatumika chip labour wala hamjitambui, mbuge ni political figure hana mamlaka ya kujitengea ardhi, kamshitakini afisa ardhi wa manispa na kamati yake. Toka lini mbuge anauza ardhi ya serikali? Hayo tunayaona kwa umma kama wakuu wa wilaya na wakurugenzi wakijiuzia mali ya umma.
Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.[/QUOTE
kwa kuongeza mkuu,
Baada ya kusoma hizi taarifa nilishtuka kidogo, Kisha nikapiga simu Arusha kujua ukweli wa jambo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa wilaya ambaye asingeweza kunificha Jambo. Yeye mwenyewe akaanza kunishangaa mimi. Hakuna kiongozi mwenye malalamiko dhidi ya LEMA, wanamwona kama shujaa wao. JF wangetendea haki kwa kufuta thread hii. Haina viwango vya kuwekwa hapa. Kweli JF siku hizi tumeingiliwa.