Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Watu wa Chuga bana na hii baridi hata kuoga inaonesha shida sana na migororo yao na Masweta
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Na yale ya rufaa tukiashinda je?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom