wewe ni gamba, cdm wasikate rufaa.
Mwaka huu jamani kazi kweli kweli....Haya tujuzeni kulikoni?.. kimetokea nini hswa hadi mahakama kumvua Ubunge Lema.
Hata akivuluwa ubunge..magamba hawatalichukua jimbo hilokamwe.
Wakuu atakayebahatika kuipata hukumu husika tunaomba ailete hapa jamvini ijadiliwe kwa misingi ya ueledi. Nawasilisha ombi langu wakuu.
Thuruma ya mahakama dhidi ya haki ndiyo msingi wa mahakama tanzania siku inakuja haki itasimama
Ndiyo, anaruhusiwa kugombea tena na hivyo tutamrudisha mjengoni kwa kishindo kikuu. Yaani CCM wamechemka kinoma, yaani wao walifikiri kuwa Lema angekata rufaa ambayo ingepigwa pigwa kalenda mpaka 2015. Tumewafunga goli la kisigino. Ndani ya siku 90 tunamjengoni. wakijaribu kuchakachua, watakua wameanzisha umwagaji wa damu!samahani wataalamu, nisaidieni nataka kujua je bwana lema anaruhusiwa kugombea tena?
samahani wataalamu, nisaidieni nataka kujua je bwana lema anaruhusiwa kugombea tena?