nimemsikia pia amedai kuwa January Makamba alimpigia simu akamwambia uchaguzi utarudiwa
Chadema msijazane ujinga bana ,bwana Lema ameona asikate rufaaa kwasababu anauhakika ashapoteza hivyo na kweli alifanya upuuzi kutoa lugha chafu, ,mbunge gani anafujo namna hiyo na kuutukana mkono uliomlisha toka akiwa mdogo, sasa kakua anajikuta na yeye anamabavu ya kuleta fujo na matusi sasa imemcost...
Lema atagombea tena na Atashinda kwa kishindo....
Hapo ndipo ushangae zaidi anaruhusiwa kugombea sasa walikuwa wanataka nini kumdhibiti kwa style gani kumbu CHADEMA tunaweza mweka mgombea mwingine ambaye akawa ndio fundisho kubwa zaidi kwa CCM twamweka Dr. Slaaaa tune je watafurukuta tena au? Maaana hukumu hivyo tayari ilisha ona mbali sana na ndiko huko wanataka na mawazo yao wanataka CDM imweketena kwenye ubunge ili wamwondoe mapema ila janja yao twisha ijua kabisa
kesi ambayo kidogo ina mvuto ni ile kesi ya Ukonga ya Mahanga maana hata mashahidi wanasema ukweli kuliko kesi ya Lema na Tundu Lisu.
Twataka kujua Jaji alitoa hukumu kwa vigezo vipi?? Isije ikawa kuwa Sheria zetu za nchi bado ziki mlinda zaidi Mwanamke kuliko mwanaume!!!!
Watamtuma tena Benjamin Mkapa kufungua kampeni?