johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,193
- 144,243
Kwa sasa wanajitambua ndiyo maana wanamtaka Gambo lema hana issue tena hawasaidii wananchi wake kakalia makesi tu.Uzuri ni kwamba watu wa Arusha wengi wanajitambua
Eti wanajitambua!! Hebu acha uvuvuzela dada! Usitake tuseme tabia za watu wa Arusha wanaomuunga mkono Lema na wala si wana Arusha wote!Uzuri ni kwamba watu wa Arusha wengi wanajitambua
Lisu atapokelewa na watu kiduchu!Lema ana wasiwasi gani?
Kwenye tamasha la kijani bwashee?!Mwambieni naye abadilishe eneo la mkutano, afanyie hapohapo Tamashani
Unarudisha kadi ya Chadema au kadi ya Mo?Simba kama inajiunga na genge la wahalifu Yanga kuwa upande wa wakandamizaji narudisha kadi, haina maana.
Dunia ikishazunguka kinakuja kizazi kingine bwashee!CCM wameshindwa kulea na kuendeleza demokrasia nchini. Inasikitisha sana aina ya siasa waliyoamua kufanya.
Uzuri dunia inazunguka, kuna siku watakuja nao kufanyiwa vitimbi hivi hivi ndiyo wataelewa.
Hata Mtume Mussa alikuwa mpango wa Mungu lakini alihujumiwa na FirauniKwan tundulisu si mpango wa mungu Sasa wasi wasi wa nn achen kulia Lia