Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,543
- 14,266
- Thread starter
- #41
Kwa wanaokaa Arusha wanaelewa hili , miaka ijayo Arusha inaweza ikawa mkoa wenye kizazi cha ovyo sana wanajiona wajanja ila ukwel ni utahira na kutakua na matukio mengi ya kutisha just imagine watu wanavuta bangi mda wote alafu ndo wazazi wa kesho hili ni janga.Moja ya mikoa nayo iyonaga jau ni huu Arusha, Zaidi ya mara NNE nikienda nakutana na usela mavi
Kuna mitaa ya Pangani na Kilombero unakuta watu muda wote wamaejaza mavitu mdomoni, kumbe wanakula mirungi