Habari iliyonifikia Kutoke Huko Jijini Arusha inasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J Lema Aliyokamatwa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge amefunga Kula ili kuwa Karibu Na Mwenyezi Mungu.
Tukumbuke tu Nchi hii inaitaji Maombi Sana kwa Mambo Mbalimbali yanayoendelea
-------------------
Arusha. Kwa mara ya pili katika kipindi kisichozidi miezi miwili, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amefunga ili kuwa karibu na Mungu wakati akiendelea kushikiliwa na polisi mkoani Arusha.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo hakuweza kupatikana kuzungumzia suala hilo na hata alipotafutwa kwa simu, hakupokea.
Suala la Lema kuacha kula ili awe karibu zaidi na Mungu limeelezwa na mwenyekiti wa Chadema wa mkoa, Amani Golugwa ambaye amesema ameelezwa na mke wa mbunge huyo.
Lema, ambaye alikamatwa Jumatano iliyopita mkoani Dodoma na kuletwa mjini hapa Alhamisi, bado hajafikishwa mahakamani.
Imeelezwa kuwa viongozi wa chama chake wameshindwa kumuona kutokana na kuzuiwa na polisi.
Golugwa amesema amepokea ujumbe kutoka kwa mke wa mbunge huyo, Neema Lema kuwa mumewe ameamua kufunga na kuomba kwa ajili ya Taifa kuhusu mambo yanayoendelea na kuwa ameona kipindi hiki ambacho yupo rumande ni cha kuwa karibu zaidi na Mungu.
“Kama tunavyomjua Lema ni mtu anayempenda sana Mungu, ameamua kujinyenyekeza mbele za Mungu. Anafunga na kuomba jioni mke wake anampelekea chakula na amesema yupo katika hali nzuri,” amesema Golugwa.
Amesema wamejitahidi kutaka kumuona Lema, lakini wamegonga mwamba na wameshindwa kumwekea dhamana mbunge huyo.
“Ni jambo la kushangaza kama mtuhumiwa anaweza kukaa rumande zaidi ya saa 48 kama sheria inavyotaka, nadhani hapa siyo sheria tena, labda ni kwa mujibu wa maelekezo ambayo hatujui yametoka wapi na kwa malengo yapi,” amehoji Golugwa.
Juzi, Kamanda Mkumbo alisema Lema hataachiwa hadi upelelezi ukamilike na mwanasheria wa Serikali atakapokuwa amemaliza kuandaa mashtaka kwa kuwa amekuwa akirudia makosa yaleyale ya uchochezi.
Kwani police wanaweza kumfunga mtu jela na si mahakama ?!sasa anataka kua tapeli wa mambo ya kiroho kama kina gwajima. safari hii hawamwachi ng'o hadi jela. ni mjinga anajitakia balaa mwenyewe.
The Mandelas, the Kenyattas numerous other who stood up for truth pia walipenda Jela.Lema si anaipenda jela?
Huwa anajipeleka mwenyewe kwa makusudi. Mmesahau?
The Mandelas, the Kenyattas numerous other who stood up for truth pia walipenda Jela.
Imeandikwa wapi kuliombea Taifa ni lazima kufunga siku 40?Gerezani mlo ni mmoja sasa utasemaje anafunga?Kuliombea taifa kunahitaji mfungo wa 40 days otherwise ni ubabaishaji
Umejuaje?Kutoka ndani ya uvungu wa Moyo wangu nasema Hakuna kiongoz aliye karbu zaid na Mungu kama Godbless!! Analitendetea Haki Jina Lake na anaish kama Jina Lake, mara nying sana Jina huwakilisha tabia ya mtu, na ndomana Mungu alikuwa anawabilisha watumishi wake majina, kwa lema kuwekwa Mahabusu na yeye kuamua kufunga na kuomba kama vile Paulo na sila, kwa wacha Mungu husikia wivu, bali wapumbavu na wajinga na wenye laana hufurahia kwasababu wamepigwa upofu wa akili zao na shetan
Jamaa yetu nae amezidi, mbona wenzie hawaropoki kihivyo, kina mnyika, amekuwa 'too much' kama yeye kaamua kufunga, afunge tu ili mungu amsaidie kurekebisha kichwa yake, sisi huku kila mtu anasaka maisha yake bila bughudha yoyote,Hana effect yoyote huyo, ale asile mara hii lazima afikishwe mahakamani. Kwani ni mara ya kwanza kufanya maigizo hayo!
Una maana jina la pombe Mafufuli nalo lina maana?Kutoka ndani ya uvungu wa Moyo wangu nasema Hakuna kiongoz aliye karbu zaid na Mungu kama Godbless!! Analitendetea Haki Jina Lake na anaish kama Jina Lake, mara nying sana Jina huwakilisha tabia ya mtu, na ndomana Mungu alikuwa anawabilisha watumishi wake majina, kwa lema kuwekwa Mahabusu na yeye kuamua kufunga na kuomba kama vile Paulo na sila, kwa wacha Mungu husikia wivu, bali wapumbavu na wajinga na wenye laana hufurahia kwasababu wamepigwa upofu wa akili zao na shetan
Anasumbua nin?Lema afungwe gerezani kifungo kirefu iwe fundisho kwa CHADEMA wengine wanaojitoa akili.....anasumbua sana huku mtaani hafai kukaa uraiani.
Nani amekuambia waislam wanafunga siku 30?anyway kwa habari ya Godbless kwa imani yake kikomo cha mfungo ni siku 40 so linapokuja jambo kubwa kama mzigo wa kuliombea taifa ni lazima ajikane,apande mlimani kumsubiri Roho wa Mungu anene naye.Jambo hili linahitaji muda siyo kula jioni kama ilivyo desturi ya walio kizuizini woteImeandikwa wapi kuliombea Taifa ni lazima kufunga siku 40?
Je wa Islamic wanaofunga siku 30, na zao ni batili?
Eti kisa ccm!! Lakin ndio walivyo hao usidhan ni huyu tu....wanafurahi nchi watu wakiwa wanapatwacna magumu,wanafurahi adi basi...Una roho mbaya sana ndugu!! Kama Kila mtu angeachia roho katili imtawale kama wewe. Dunia isingefaa kwa chochote.
Lema afungwe gerezani kifungo kirefu iwe fundisho kwa CHADEMA wengine wanaojitoa akili.....anasumbua sana huku mtaani hafai kukaa uraiani.
Safari hii huyu mkwapuaji wa zamani wa magari aliegeuka kuwa mwanasiasa, atiwe lupango ili akafunge vizuri akiwa jela kwenye utulivu. Wenzake huku tunaendelea na ujenzi wa Taifa .Eti maigizo watu bana!
Siyo kosa lako ilaumu sana ccmMwenzenu anatafuta kuandikwa na magazeti,nyinyi mnachukulia kwa uzito mnaacha shughuli zenu na kukaa mnamfatilia huyo mtu.twaweza ifata siasa coz inaendelea hapa inchini na duniani kote,lakini kufuata kila la mwanasiasa wakati mwingine ni kujipotezea muda tu
Ataki kula sababu munaweza mukamtilia sumu hiyo ni njia tu ya kuulinda uhai wake dhidi ya wafuasi wa shetani waliyopo kwenye chama chenu.Nyie chama mfu chadema kupitia kauli zenu mnasisitiza kumuua rais kabla ya 2020, na ndiyo maana lichama lenu lazima lipotee kwenye ramani. Dkt Magufuli hafi! Ni mpaka Mungu atakapoamua, ila siyo kwa mkono wenu chama mfu chadema au mtu yeyote kwani Mungu anamlinda Dkt Magufuli 24hrs/7days/12month, na vyombo vya usala vitawashughulikia ilivyo vema
Hakuna kosa la kufumngwa hapo ila atawasumbua sanaSafari hii huyu mkwapuaji wa zamani wa magari aliegeuka kuwa mwanasiasa, atiwe lupango ili akafunge vizuri akiwa jela kwenye utulivu. Wenzake huku tunaendelea na ujenzi wa Taifa .