Godbless Lema afunga kula akiwa Polisi ili kuliombea Taifa

Godbless Lema afunga kula akiwa Polisi ili kuliombea Taifa

Watakubeza wengi ila nakuhakikishia kamanda Lema, siku zote upande wa HAKI hushinda dhidi ya ule wa figisufigusu. Mungu akutangulie, akulinde na amtume malaika wake kukulinda.
 
Nyie chama mfu chadema kupitia kauli zenu mnasisitiza kumuua rais kabla ya 2020, na ndiyo maana lichama lenu lazima lipotee kwenye ramani. Dkt Magufuli hafi! Ni mpaka Mungu atakapoamua, ila siyo kwa mkono wenu chama mfu chadema au mtu yeyote kwani Mungu anamlinda Dkt Magufuli 24hrs/7days/12month, na vyombo vya usala vitawashughulikia ilivyo vema
MUNGU NI MWEMA,LEMA tuko pamoja nawe
 
Hawa jamaa wa cdm hawana tofauti na wasanii wa bongo movie kwa vituko duuh. Wanadhani kwa MUNGU ni kwa mzungu,,,jaribuni kumwogopa MUNGU bac hata maramoja moja...
 
Nyie chama mfu chadema kupitia kauli zenu mnasisitiza kumuua rais kabla ya 2020, na ndiyo maana lichama lenu lazima lipotee kwenye ramani. Dkt Magufuli hafi! Ni mpaka Mungu atakapoamua, ila siyo kwa mkono wenu chama mfu chadema au mtu yeyote kwani Mungu anamlinda Dkt Magufuli 24hrs/7days/12month, na vyombo vya usala vitawashughulikia ilivyo vema
Huu Muda unaoutumia hapa JF kutoa Povu si ni Bora ungeenga kumuandalia Mumeo chai ya Tangawizi
 
Afunge ili aende kwa Mungu tuwaonyeshe hawa jamaa hasira za umma
Nguvu ya Umma ilikuwa enzi zile za CHADEMA Asili. Tangu mbebe MAFISADI ya CCM nani atahangaika na CHADEMA LOWASA? We huoni UKUTA ilivyoyeyuka kama KATIBA ya WARIOBA?
Hii CHADEMA ya sasa ni FEKI ni ya MATAPELI tu.
 
Hawa jamaa wa cdm hawana tofauti na wasanii wa bongo movie kwa vituko duuh. Wanadhani kwa MUNGU ni kwa mzungu,,,jaribuni kumwogopa MUNGU bac hata maramoja moja...
Sasa kama ni Bongo Movie Mbona mna hanya hanya
 
All is for the best in the best of all possible worlds. Better days ahead.
 
Watakubeza wengi ila nakuhakikishia kamanda Lema, siku zote upande wa HAKI hushinda dhidi ya ule wa figisufigusu. Mungu akutangulie, akulinde na amtume malaika wake kukulinda.
Hivi huyu Kamanda akiwa uraiani hawezi kufunga na kumuomba Mungu, ila Inawezekana mpaka akiwa sero.
 
Nguvu ya Umma ilikuwa enzi zile za CHADEMA Asili. Tangu mbebe MAFISADI ya CCM nani atahangaika na CHADEMA LOWASA? We huoni UKUTA ilivyoyeyuka kama KATIBA ya WARIOBA?
Hii CHADEMA ya sasa ni FEKI ni ya MATAPELI tu.
Huyu kamanda anamkumbuka Mungu akiwa gerezani na akiwa uraini hathubutu
 
Waliokula milungula ya milioni 10 kila mmoja wapo bungeni wanakula kiyoyozi tu, lakini yule anayepinga dhuruma na uporaji wa haki za raia yuko korokoroni!! Hii nchi ya ajabu sana.
 
Mbona hapelekwi mahakamani. Anashiliwa zaidi ya 48. Hivi polisi hawawezi kufunguliwa mashtaka?
 
Mwenzenu anatafuta kuandikwa na magazeti,nyinyi mnachukulia kwa uzito mnaacha shughuli zenu na kukaa mnamfatilia huyo mtu.twaweza ifata siasa coz inaendelea hapa inchini na duniani kote,lakini kufuata kila la mwanasiasa wakati mwingine ni kujipotezea muda tu
Inchini!
 
Kutoka ndani ya uvungu wa Moyo wangu nasema Hakuna kiongoz aliye karbu zaid na Mungu kama Godbless!!

Kama watumishi wako wa Mungu ni hawa jehanamu inakungojea

13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n-jpg.360620
 
Godbless Lema wewe ni shujaa, ukiwa huko kizuizini nakutumia Ujumbe huu wa Biblia kukutia nguvu:

Zaburi 118: 5- 6: "Katika shida yangu nalimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.
BWANA yuko upande wangu, sitaogopa;Mwanadamu atanitenda nini?"


Hatimaye madhalimu hawa wasiomjua Mungu watashindwa, na wataanguka vibaya, na hawatafanikiwa lolote katika utawala wao, zaidi ya kuongeza chuki na mifarakano kwa taifa, na zaidi ya kugombana na kuchukiana wao kwa wao.Mpagani Magufuli na kibaraka wake Mpagani Gambo hawawezi kushindana na wewe unayemjua Mungu wa kweli. Amen.
Zaburi 37:1 Usikasirike kwa ajili ya watenda maovu...
 
Back
Top Bottom