Godbless Lema afunga kula akiwa Polisi ili kuliombea Taifa

Godbless Lema afunga kula akiwa Polisi ili kuliombea Taifa

Siasa za Lema Hazina uzalendo wa kitaifa..Huwezi kamatwa then ndipo useme unafunga kuombea taifa. huko ni kushindwa kufikiri...
 
Sasa mbona hammshitaki!..mnaenda kukagua kwake hamuoni kitu.hapo ndipo watoa mashtaka mnapochanganyikiwa,hamjui mmshitaki kwa lipi.ha haa
Hizi kesi za kutunga .... hatujaona hata kesi moja ambayo watu wanakutwa na hatia. Akina Slaa mpaka wameishia zao Canada hata hatujui kesi zake ziliishia wapi!?
 
Hako ni kamchezo kake alikokagungua ili kumpa public attention!
HUYU JAMAA WATU WA ARUSHA WENYEWE WASHAMCHOKA,WANAMVUMILIA KWASABABU ZA KIKANDA NA KIKABILA,ANGEKUWA MTU WA TARIME HUKO WANGEKUWA WASHAMTIMUA KITAMBO.ZAMANI ALIPOKUWA ANAKAMATWA MAKAMANDA WALIKUWA WAKIFANYA MAANDAMANO MAKUBWA KUELEKEA POLISI MPAKA KUNA NYUMBU WALISHAUAWA WENGI TU KWENYE MAANDAMANO YA LEMA NA FAMILIA ZAO ZINATESEKA.KAMFUNDISHA KAMANDA MAWAZO HU0 UJINGA WAKE,KILICHOFUATA KAUAWA NA FAMILIA YAKE INATESEKA NA HAWASAIDI CHOCHOTE.LEO WAMESHTUKIA KATUKANA HADHARANI KAKAMATWA,KILA MTU HAPA CHUGA ANAENDELEA NA SHUGHULI ZAKE.
 
Ninamtakia mfungo mwema siku ya kufungua mkewe amfuate kwenye kichumba cha polisi wafungue wote kwa sababu yeye ni chalii wa Arusha hata godoro na shuka watampa.
 
Wewe Ndugu yangu unayejiita Mwanahabari huru nimekuwa nikisoma posts zako nyingi...na inaonekana huwa hufanyi editing posts zako...jitahidi uwe unazifanyia editing ili wewe mwenyewe kujiongezea credibility..ni ushauri tu, you can as well ignore ushauri wangu...
Asante
 
Habari iliyonifikia Kutoke Huko Jijini Arusha inasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J Lema Aliyokamatwa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge amefunga Kula ili kuwa Karibu Na Mwenyezi Mungu.

Tukumbuke tu Nchi hii inaitaji Maombi Sana kwa Mambo Mbalimbali yanayoendelea
-------------------

Arusha. Kwa mara ya pili katika kipindi kisichozidi miezi miwili, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amefunga ili kuwa karibu na Mungu wakati akiendelea kushikiliwa na polisi mkoani Arusha.

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo hakuweza kupatikana kuzungumzia suala hilo na hata alipotafutwa kwa simu, hakupokea.

Suala la Lema kuacha kula ili awe karibu zaidi na Mungu limeelezwa na mwenyekiti wa Chadema wa mkoa, Amani Golugwa ambaye amesema ameelezwa na mke wa mbunge huyo.

Lema, ambaye alikamatwa Jumatano iliyopita mkoani Dodoma na kuletwa mjini hapa Alhamisi, bado hajafikishwa mahakamani.

Imeelezwa kuwa viongozi wa chama chake wameshindwa kumuona kutokana na kuzuiwa na polisi.

Golugwa amesema amepokea ujumbe kutoka kwa mke wa mbunge huyo, Neema Lema kuwa mumewe ameamua kufunga na kuomba kwa ajili ya Taifa kuhusu mambo yanayoendelea na kuwa ameona kipindi hiki ambacho yupo rumande ni cha kuwa karibu zaidi na Mungu.

“Kama tunavyomjua Lema ni mtu anayempenda sana Mungu, ameamua kujinyenyekeza mbele za Mungu. Anafunga na kuomba jioni mke wake anampelekea chakula na amesema yupo katika hali nzuri,” amesema Golugwa.

Amesema wamejitahidi kutaka kumuona Lema, lakini wamegonga mwamba na wameshindwa kumwekea dhamana mbunge huyo.

“Ni jambo la kushangaza kama mtuhumiwa anaweza kukaa rumande zaidi ya saa 48 kama sheria inavyotaka, nadhani hapa siyo sheria tena, labda ni kwa mujibu wa maelekezo ambayo hatujui yametoka wapi na kwa malengo yapi,” amehoji Golugwa.

Juzi, Kamanda Mkumbo alisema Lema hataachiwa hadi upelelezi ukamilike na mwanasheria wa Serikali atakapokuwa amemaliza kuandaa mashtaka kwa kuwa amekuwa akirudia makosa yaleyale ya uchochezi.
Afe tu kwani lazima yeye awepo nchini mwetu
 
M
Mnafiki sana Lema, hivi unavyopanga mbinu za kumuua rais wetu kwa kutumia kauli za dharau kujionesha unakuwa na akili timamu???
mbona raisi wenu atakufa tu madamu ana pumzi nyama na maji mwilinI mwake munafurahia udikteta wake hakika miaka mitano mingi
 
HUYU JAMAA WATU WA ARUSHA WENYEWE WASHAMCHOKA,WANAMVUMILIA KWASABABU ZA KIKANDA NA KIKABILA,ANGEKUWA MTU WA TARIME HUKO WANGEKUWA WASHAMTIMUA KITAMBO.ZAMANI ALIPOKUWA ANAKAMATWA MAKAMANDA WALIKUWA WAKIFANYA MAANDAMANO MAKUBWA KUELEKEA POLISI MPAKA KUNA NYUMBU WALISHAUAWA WENGI TU KWENYE MAANDAMANO YA LEMA NA FAMILIA ZAO ZINATESEKA.KAMFUNDISHA KAMANDA MAWAZO HU0 UJINGA WAKE,KILICHOFUATA KAUAWA NA FAMILIA YAKE INATESEKA NA HAWASAIDI CHOCHOTE.LEO WAMESHTUKIA KATUKANA HADHARANI KAKAMATWA,KILA MTU HAPA CHUGA ANAENDELEA NA SHUGHULI ZAKE.
Nyama wewe, kichwa panzi mxiuuuuuuu
 
M
mbona raisi wenu atakufa tu madamu ana pumzi nyama na maji mwilinI mwake munafurahia udikteta wake hakika miaka mitano mingi
Na ndiyo maana lazima mshughulikiwe vilivyo maana nyie chama mfu mna huo mpango wa mauaji kutokana na kauli zenu. Tumewasikia muda mrefu sana, ila kwa ufupi Dkt Magufuli ni namba nyingine! Kila anayeinuka kumpinga anaangukia pua vibaya sana! Muulize nyeupe hana hamu maana bilions watu walikula na urais hana. Na kwa taarifa yako serikali inafaham kila upuuzi wenu, na mtashughulikiwa mmoja baada ya mwingine mpaka muwe na adabu
 
Mmh Mungu huyo anaonekana ni Wa Mukulu peke yake,mkipata madaraka mnajifanya wadogo zake Mungu. Hii inanikumbusha kisa cha mfalme Herode na Yohana. Lema ni Yohana wa Tanzania.
 
Kama mtu anarudia makosa yaleyale ya uchochezi kwanini hafungwi ?
 
Mmh Mungu huyo anaonekana ni Wa Mukulu peke yake,mkipata madaraka mnajifanya wadogo zake Mungu. Hii inanikumbusha kisa cha mfalme Herode na Yohana. Lema ni Yohana wa Tanzania.
Lema ni mharifu anapaswa kwenda jela. Wewe tu ndiye unamtukuza mtu tapeli na jambazi. Lazima akomeshwe bado wewe na matapeli wenzako lazima mtiwe nyavuni
 
Umetuona Watoto sana sio.. Lema Buana...,,,

lema.png
 
Back
Top Bottom