Godbless lema aachia nyimbo

leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye


Kwa hiyo unataka awashukuru wapiga kura kama wabunge wa ccm ambao kila wakisimama bungeni hawana la maana la kuchangia, kazi ni kumpongeza Rais na kugonga meza mpaka bunge linaisha,,,,
 
cd inagombaniwa.... jana tuliuza cd 50 pale mlimani city (samaki samaki) wadau waikubali.... eric shigongo adondosha chozi aikubali
 
cd inagomaniwa kwasas....... eric shigongo adondosha chozi asema ...... asema saa ya ukombozi imewadia..... amsifu mbunge LEMA
 
Back
Top Bottom