Godbless lema aachia nyimbo

Nchi haziendelei kwa nyimbo...

Ila kupitia nyimbo zenye maneno yenye kuwapa moyo watu, kuwapa hamasa, kujenga uzalendo wa nchi yao! huamsha ari ya kufanya kazi, kujitolea kwa ajili ya nchi na hatimaye kujenga udungu na mshikamano. Mwisho wa siku nchi inaendelea.
 
Mbunge wa jiji la ARUSHA GOdbless Lema(CHADEMA) ameachia wimbo unaoitwa MSIOGOPE... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la ARUSHA... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu KILEWO.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu.....

Wewe subiri kama track hiyo haijapigwa marufuku kusikika katika anga za Tanzania. Nyimbo za kusikika ni zile zinazomsifu JK kwa kutuletea maisha bora kwa kila mtanzania. Vinginevyo ama ni mabomu kwa kila redio itakaoimba wimbo huo (sio chombo cha habari) au gongo la mboto itahamishiwa kijijini kwa Lema na Kilewo na yeyote atakayeshabikia. Narudia, nyimbo pekee za kisiasa zinazoruhusiwa ni zile zinazompongeza JK kwa kutupatia msaada waathirika wa mabomu Gongo la mboto (sio kuzuia vifo na milipuko hiyo) na kukemea udini wa chadema (sema ukristo). Kama unabisha subiri.
 
Leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye

Inaonyesha kabisa hauko Arusha, na kama uko Arusha basi hufuatilii mambo ya siasa Arusha yanakwendaje. Sisi wanaarusha tumemtuma Lema tuko nyuma yake, hana sababu ya kuja kutoa shukrani, inatakiwa tumshukuru sisi kwa ujasiri wake, vile vile ni majuzi tu kazindua mfuko wa kuwasaidia watoto wa wasio na uwezo.
 
Achieni kitu hicho hapo watu tuanze kupandisha mzuka.

CDM peoples power
 
Mbunge wa jiji la ARUSHA GOdbless Lema(CHADEMA) ameachia wimbo unaoitwa MSIOGOPE... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la ARUSHA... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu KILEWO.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu.....
hiyo nyimbo iko kwenye maadhi gani?? isije ikawa ni mipasho
 
Mbunge wa jiji la ARUSHA GOdbless Lema(CHADEMA) ameachia wimbo unaoitwa MSIOGOPE... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la ARUSHA... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu KILEWO.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu.....
kaimba au kachana?
 
haya maneno yako kwenye wheel cover ya gari ya lema.
 
Nyimbo?? Ameshindwa kuongea mwenyewe mpaka atumie nyimbo?? Huo ni udhaifu
 
all in all my role mode kiharakati kwa kufuata bit ni ROMA MKATOLIKI-(Mr. Prezident haya masihara)
 
Nyimbo?? Ameshindwa kuongea mwenyewe mpaka atumie nyimbo?? Huo ni udhaifu

ndugu imekuuma sana ee,lema atashindwaje kuongea?si ndiye yeye aliyemchana live bwana Pinda pale bungen nusu aanze kulia..lema jasir haogopi mtu na yuko tayari kwa chochote nataman angekuwa anaongoza jimbo langu.
 
He na yeye ni msanii wa kizazi kipya?

Bunge la mwaka huu
vick, Mbilinyi, Komba.,......
 
Maneno ya hiyo nyimbo hayajakaa vizuri sana, sijui kama utaruhusiwa hasa ukizingatia hali ya kiasa ya sasa, itawapa sababu watu kuipaka CDM Matope (sababu ya kuongea) kuwa inatakakusababisha vita, ningeshauri viongozi wa juu waipitie na kuangalia impact yake kabla ya kutoka uraiani. Pia ningemshauri Lema angeacha vijana wasaníi watoe wao kama wao kwani ingeonekana ni ya kihalisia zaidi na halihalisi yalipo kwenye mioyo ya watu na wanaharakati.
Anyway labda tutakapo ipata ikiwafull tutapa maana.
 
wingi wa nyimbo nadhani utakuwa kipimo cha kumrudisha madarakani 2015
way to go Lema........
 
Brotrher kileo tuwekeeni na sisi hapa tuisikie kaka.
No haja rap bali alikuwa akitoa speech huku akifuatisha bt... Ukisikiliza kama siyo mwanaharakati lazima utakuwa mwanaharakati wa ukweli kamanda ni kichwa kazungumza mambo ya msingi mle:
 
ni heri ya vita inayo dai haki na usawa

Sina tatizo na kutunga nyimbo ila hapo juu sikuungi mkono kamwe! Huo ni uchochezi wanaodai vita wakumbuke kuna ambao tunataka AMANI, historia inatukumbusha kuwa mara baada ya vita watu wanalilia kupata amani zoezi linaloweza kuwa la gharama kubwa kuliko.
 
Back
Top Bottom