Godbless lema aachia nyimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless lema aachia nyimbo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Henry Kilewo, Mar 9, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mbunge wa jiji la ARUSHA GOdbless Lema(CHADEMA) ameachia wimbo unaoitwa MSIOGOPE... Unaozungumzia hali halisi ya ukombozi wa taifa hili pamoja na njama chafu zilizo chezwa kwenye uchaguzi wa meya wa jiji la ARUSHA... Track hiyo ameiachia jana kutoka studio za kameta zilizopo kinondoni dar es salaam akimshirikisha msanii bwana kotide pamoja na swahiba wake wa karibu KILEWO.... Itaanza kuingia mitaani kuanzia jumamosi na nukuu baadhi ya mistari: ni heri ya vita inayo dai haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kuduwaza utu wa mwanadamu.....
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  cant wait to hear the song, chadema oyeee chademaa dr slaa amesema tukomboe nchi yetuu chademaa oyeee chademaaaaa
   
 3. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  powa sana,ni hadi kieleweke
   
 4. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  its sounds great! a good innovation
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Mh. mtukufu ndg. Kapteni Komba atamjibu soon, subirini.. :msela:
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  crap !!!!!!
   
 7. c

  carefree JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye
   
 8. Chepii

  Chepii Senior Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Unasema kweli bro or unaleta jokes hapa.
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  lema ameimba noooooooo hizi ni porojo urojooooooooooooo
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mzuka, who want another rap.....
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  No comment.
   
 12. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kamanda alicho kifanya LEMA ni kitu kikubwa sana kukaa na kuwaza ni jinsi gani ataweza kuelezea hisia zake kwa wananchi wake pamoja na watanzania kwa ujumla then ukisema kuhusu kero LEMA ndiye mbunge pekee mpaka sasa ambaye ameweza kufanya kitu cha maana jimboni kwake kama vile wale watoto mianne watasoma chini ya ARDF... Huyu jamaa ni mbunifu anawapenda watanzania
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmhh! Ame rap kwa lafuzi ya kimachame au? Awe makini sana hivyo vitu visije mwaribia kwa wapiga kura wake. Hasiwe kama sugu anaye ng'ang'ania kutetea sanaa ya ubongo wa fleva na kusaa wapiga kura wake.
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kuwashukuruje? Nahisi ww ni msengerema.
   
 15. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  FYI Lema ndio Mbunge pekee ambaye ameshafanya makubwa kwa jimbo lake .
  Kashaingiza watoto 400 shule ambualance, tractor na mfuko maalum wa maendeleo. usipime Archuga
   
 16. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  No haja rap bali alikuwa akitoa speech huku akifuatisha bt... Ukisikiliza kama siyo mwanaharakati lazima utakuwa mwanaharakati wa ukweli kamanda ni kichwa kazungumza mambo ya msingi mle:
   
 17. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutuwekea hapa ukumbini?
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wadau mpo serious na hyo maneno au ni Gossips?
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yangu macho na masikioi.
   
 20. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Arusha watoto 400 mwaka wanaenda secondary kwa jeuri ya Lema na mshikamano wa wana Arusha au umesahau mkuu kijana yuko kazini kweli
   
Loading...