Kukwepa maswali yanayo onyesha udhaifu wa hoja zako ni kawaida yako.
Jibu swali we kiranga.
Umeulizwa unaamini Wanga wapo?
Unafahamu wazi kabisa kuwa wanga ni jamii ya WACHAWI sasa acha utoto .
Na mimi nakuongezea .
Kifo ni nini? Au Roho ni nini.
Na kwanini LAZIMA viumbe WAFE ?
Na ukiambiwa mtu KAFA kifo cha kawaida(Natural Death) nini hasa kilichokufa hapo?
Jibu maswali km wewe ni Atheist anaejitambua.
. Tofautisha kati ya kuthibitisha na kuaminisha.Utakuwa unatatizo, la sivyo umezaliwa Masaki ukakulia Masaki, na hujawahi toka hapo.
Tembea uone dunia.
Kama uchawi unaweza kutumika kukuthibitishia kuwa Mungu yupo, tembea mikoani uone.
Kama mama ni muhimu hivyo, na Mungu naye mama yake nani?Atheists huwa nawafananisha na watoto mapacha walio tumboni wanavyojadiliana kuhusu uwepo wa mama yao. Wanasema mama hayupo.
God is everywhere.
Kukwepa maswali yanayo onyesha udhaifu wa hoja zako ni kawaida yako.
Jibu swali we kiranga.
Umeulizwa unaamini Wanga wapo?
Unafahamu wazi kabisa kuwa wanga ni jamii ya WACHAWI sasa acha utoto .
Na mimi nakuongezea .
Kifo ni nini? Au Roho ni nini.
Na kwanini LAZIMA viumbe WAFE ?
Na ukiambiwa mtu KAFA kifo cha kawaida(Natural Death) nini hasa kilichokufa hapo?
Jibu maswali km wewe ni Atheist anaejitambua.
Hoja ya uoga haina uhalisia ni sawa na hoja kwamba et dini ndiyo zinafanya watu waogope kifo wakati hadi atheists huogopa kifo.Shetani hajikwezi kipuzii..
Nae pia haexist zaidi ya imagination ndani ya vichwa vya binadamu vilivyojazwa ujinga na woga hasa na huyo mungu wenu
Hoja ya uoga haina uhalisia ni sawa na hoja kwamba et dini ndiyo zinafanya watu waogope kifo wakati hadi atheists huogopa kifo.
Hayo ya kutishwa unayaongea wewe ni vitu ambavyo havina uhalisia huwezi kumfanya mtu aamini jambo kwa vitisho,watu wanakubali uwepo wa Mungu kwa sababu zenye mantki na sio et kwa sababu ya vitisho.Haya madini yenu yote yakuja yote yanatumia propaganda za Uwepo wa kitu kisichoExist na binadamu wachache wanatumia kuwatisha wajingajinga kama nyinyi na Upumbavu wa uwepo wa mungu
Pole sanaThe belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Ndio utuambie wewe sasa kwanini kiwe kingine ?Wame fail wapi?...Hata fundamentals za Modern Physics unazifahamu wewe?
Na hio First cause kwanini iwe ni Mungu Tena Specific God with Human attributes?....Kwanini kisiwe kingine
Mleta mada yuko sawa ''Neno'' siyo mali ya kila mtu, kama usivomjua baba yangu, km ni kweli we u mtu basi huna influence ktk Dunia ya wachawi, majini na mashetani, unajipitiaga tu.
Si ajabu wewe ni mwenyeji wa kuzimu, kwa kujua au kutokujua! unatafuta wa kuwapeleka ili upande cheo! humu kuna viumbe si watu tunawajua avatar zao! kuna siku nitatoa somo kuhusu Avatr za kuzimu! na kuna wengi pia humu JF walisha ishi kuzimu, na kuokoka!
Wenye talent za kuibadili Dunia ndiyo wanashambuliwa na hao watu wa shetani, hapo sasa kama ikitokea, yakisha kupata ya kukupata lazima umtafute Mungu na kutubu
Yamekua ayoMleta mada yuko sawa ''Neno'' siyo mali ya kila mtu, kama usivomjua baba yangu, km ni kweli we u mtu basi huna influence ktk Dunia ya wachawi, majini na mashetani, unajipitiaga tu.
Si ajabu wewe ni mwenyeji wa kuzimu, kwa kujua au kutokujua! unatafuta wa kuwapeleka ili upande cheo! humu kuna viumbe si watu tunawajua avatar zao! kuna siku nitatoa somo kuhusu Avatr za kuzimu! na kuna wengi pia humu JF walisha ishi kuzimu, na kuokoka!
Wenye talent za kuibadili Dunia ndiyo wanashambuliwa na hao watu wa shetani, hapo sasa kama ikitokea, yakisha kupata ya kukupata lazima umtafute Mungu na kutubu
What is syntactic category of the word ''nonsensical? if you are really well buttered.NONSENSE
NONSENSE