Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
Ondoa shaka, ngoja rephrase swali langu; linasema, "Naomba kukuuliza swali tafadhali, je umeelewa hizo quotes ulizo copy paste?"Mkuu katika quote nilizoweka umezipitia zote vizuri?
Maana naona unanilisha post Mkuu.
Ndio, nimezielewa zote.Ondoa shaka, ngoja rephrase swali langu; linasema, "Naomba kukuuliza swali tafadhali, je umeelewa hizo quotes ulizo copy paste?"
Umezielewaje? unaweza kudadavua?Ndio, nimezielewa zote.
Kwetu uchagani miaka ya nyuma sana kabla ya wamisionari kuingia na kutangaza dini na kuileta biblia, wale wazee wa kichaga walikuwa wanaamini kuna nguvu iko mahali anaitwa Ruwa.
Walikuwa wanaamini Hii nguvu ukiiomba chochote inakupa kama kunyesha nchi mvua, kuepusha magonjwa na balaa.
Na wachaga kipindi hicho walikuwa na utaratibu wa kukutana chini ya mti mkubwa kuchinja mbuzi na kumwaga pombe ya mbege na kumuomba Ruwa awasaidie katika mambo mbalimbali
Wamisionari walivyokuja wakatangaza na kushawishi huyo Ruwa mnayemuomba ni Mungu, wakafundishwa neno la Mungu na maandiko ya biblia.
Mpaka sasa hivi Mungu anaitwa Ruwa lakini Ruwa original alikuwa Mungu wa wachaga nguvu isiyoonekana inayotenda makuu.
Umezielewaje? unaweza kudadavua?
Si kila king'aacho ni dhahabu ... Lakini haimaanishi kuwa dhahabu haipo lazima uitafute use mweledi uweze kutofautisha dhahabu halisi na famba ... Si kila inayotajwa ni Sifa ya Muumba ni yake... Lakini haimaanishi kuwa hayupo inahitaji weledi, elimu na zaidi ya imani kutambua uwepo wake ...Wame fail wapi?...Hata fundamentals za Modern Physics unazifahamu wewe?
Na hio First cause kwanini iwe ni Mungu Tena Specific God with Human attributes?....Kwanini kisiwe kingine
Ubishi wa kipumbavu haukuongezei chochote ktk maisha sana utaathiri jamii iliokuzunguka.Waziri hana mamlaka ya kuzuia zinaa kwasababu hana uwezo wote, angekuwa na uwezo huo angeweza kuzuia bila hata kututangazia.
Pili kama tu waziri ambaye hana uwezo wote anatamani kuzuia jambo hili lisiwapate raia wake inakuaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote kwa viumbe vyake ashindwe kuzuia jambo hili???
Mbona unajichanganya, msingi mkuu wa Mada ni uwepo wa MUNGU hayo mambo ya dini achana nayo, kuna watu wengi wasiofuata dini yoyote ila wanaamini uwepo wa MUNGU...Mkuu
Bora wewe unahistoria ya kabila na tamaduni zenu na jinsi mlivyokua mnaabudu..
Hawa wafia dini wengi humu ni vilaza waliopitiliza hata hawajui hizi dini wanazofia zina umri gani ndani ya jamii ya mtanzania
Ubishi wa kipumbavu haukuongezei chochote ktk maisha sana utaathiri jamii iliokuzunguka.
Umepewa uhuru wa kuishi utakavyo
Sasa unalaumu uhuru uliopewa?
Huyo mtengeneza gari alishawahi kujinadi kua gari aliyoitengeneza imewekwa kiufanisi wa hali ya juu kiasi kwamba haitopata ajali ya namna yeyote ile??Brbr zimewekewa speed limit sasa dereva akigonga wapita njia kwa kwenda speed kinyume na sheria utalaumu mtengeneza gari ?
Kama bangi ni mbaya unataka kuniambia mungu wako alifanya makosa kuiruhusu iote??bangi mnavuta kisha zinawatuma Kuiba mkipata kichapo mnamlaumu mwenye shamba la bangi .
Wenzako Bangi ni mboga na Dawa sio za kuvuta.
Sijakuuliza, "Unajua kusoma lugha ya kingereza?", bali, "Je, umeelewa hizo quotes ulizo copy paste?". Tafadhali usisite kunijulisha kama bado hujanielewa.Mkuu nenda moja kwa moja kwenye hoja yako maana zinaeleweka kwa mtu yeyote anayeelewa kiingereza.
Kumbuka, sijapost quote yeyote ya Mungu na Dice...
MISI MEKUULIZA WW..HU NDIO UTARATIBU GAN WA KUULIZA SWALI ULILO ULIZWA???Hahahahaa..
Embu nieleze kwanini ww mwafrika unatumia
Mbona unajichanganya, msingi mkuu wa Mada ni uwepo wa MUNGU hayo mambo ya dini achana nayo, kuna watu wengi wasiofuata dini yoyote ila wanaamini uwepo wa MUNGU...
Kama unataka kupata proves lazima upoteze mwili wako yan ufe mambo mnayo jadili ni ya 4D nyie mpo 3D vilaza zaid mpaka 2D
Usikute wakina tesla huko waliko wanaomba kurudi hata dak moja kutoa ushuuda ku konclude lakin haiwezekan
Kilaza mwenzetu umeyajuaje haya..?! embu tusaidie nasi tunaohoji tujue
Sasa Mtu akishasema Dunia haipo Kuna haja Tena ya yeye kusema Mlima Kilimanjaro haupo?
Hayo majini,Mashetani,Mizimu yote yapo ndani ya God hypothesis
Atheism katika General sense is simply lack of belief in any supernatural entities