empty mind
Member
- Oct 27, 2018
- 61
- 26
Mbabaishaji ameanza swaga zake, huwa anakimbia maswali kwa kuleta hoja kwenye swali badala ya kujibu, hata siku moja swali halijibiwi kwa swali, kama hujui sema sijuiHujauliza swali.
Umeshindwa kuuliza swali.
Hata swali lako mwenyewe hulijui.
Ndiyo maana nilipokuomba ufafanuzi, umeshindwa kulifafanua.
Kama sivyo, fafanua swali lako kwa mujibu wa nilivyolihoji.
vip unaweza prove kwamba hakuwepo??//Wewe mweusi mwenzangu unamjulia wapi yesu..Wayaudi wenyewe hawamtambui..
Mmelishwa ujinga na nyinyi mnakesha mnaomba kwa jina la kitu kisicho exist. Utumwa wa dini unawalemaza na kuwajaza ujinga
MFANO VITU GANI???Kupungukiwa kupo Mkuu,
Maana Kuna vitu unajinyima ukiamini ni "Dhambi" kwamba utakua punished end of World kumbe ni imagination tu kama ulivyosema kaka.
PIA HATA MWANAO UTAMFUNDISHA IVO SI NDIO?/?Sihitaji kuambiwa na mtu kuhusu huyo Mungu, mmbo ya Mungu nilishafikia conclusion yake miaka 10 iliyopita, imebaki kazi ya kuwapeleka shule watu kama nyie
KITU GAN UNAWEZA KUELEZEA KWA 100%% NIPE MFANOKwahio mkuu Mungu wako ni mungu wa vitu visivyojulikana ( god of the unknown)
Kwamba mungu anakuwepo sehemu yenye gap ya knowledge..
Sehemu ambapo vitu tunaweza kutengeneza na kuexplain hakuna mungu[emoji23][emoji23]
Siku uumwe hata tumbo la kuhara tu, utasali sala zote.The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Kuumwa ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote hayupo.Siku uumwe hata tumbo la kuhara tu, utasali sala zote.
Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?Mifano michache:-
Mnara wa Paris:-
Hivi, ukiuangalia ule mnala, ukatafakari, je unaweza kuja na jibu kwamba UMETOKEA TU WENYEWE? (Kuna (w)aliye utengeneza)
Majani ya mmea:-
Chunguza structure ya manani ya mmea, anagalia 'perfect engineering' hapo, Je unadhani umejiotea tu bila mpangilio wa aliyepanga?
Wanyama na rangi (mapambo) yao:-
Unadhani, rangi na mapambo ya wanayama, yaliyopambwa kwa ustadi mkubwa imetokea tu bila aliyefanya iwe hivyo?
Wadudu na mpangilio wa rangi zao:-
Hivi huoni kwamba kuna kazi iliyifanywa na nguvu fulani na siyo wamejitikeza tu?
Skeletons:-
Hivi umejaribu kuchunguza mahesabu ya skeleton yoyote? Mpangilio ulio perfect?
Achilia mbali blood streams, nerves na musles! Umejaribu kuchunguza mpangilo wake, nani amefanya hivyo?
Pumzi:-
Jiulize, hiyi nguvu inayokufanya upumue unaitoa wapi, jiulize jinsi unavyo 'extract' hewa ya oksijen kutoka hewa zingine (very complex phenomena), lakini unachukulia 'easy' tu.
Waidhika ndugu
Anayefanya vyote hivyo yupo!
Mifano ipo mingi, hata ngozi yako tu (skin layers) mpangilio wake ni 'kipengele'.
Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, vinavyo onekana na visivyo onekana, tunavyo vijuwa na tusivyo vijuwa, YUPO.
Halali, wala kusinzia hakumpati, yupo, wa kudumu, alpha na omega.
Wewe nyungunyungu usiye na ubongo wala uti wa mgongo hata framework unayoitaja ukiiona utaijua?wewe zwazwa kweli hiyo namba kumi na framework ndiyo nn wewe umesema mungu hayupo sasa tengeneza framework inayopinga kuweli
Kuumwa ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote hayupo.
Wewe umeamini mungu kwasababu unaogopa kuhara??Siku uumwe hata tumbo la kuhara tu, utasali sala zote.
Huwezi kuuliza swali kwa kujilengeshea jibu lako lililo mfukoni ("nani") kwa jambo ambalo hulijui. Ikiwa jambo hilo limesababishwa na kitu kisicho wakiliswa na "nani", swali lako litakua na mantiki gani?Ukikaa mahali kimyaaaa ukatumia ufahamu wako ukajiuliza maswali kama:-
1. NANI KATENGEZA NISHATI YA JUA
kwani kila jambo ni lazima liwe na kinyume chake??? Ukisema hivyo namimi nitakuuliza bahari ya hindi mbona haijakauka wakati kila siku jua linawaka?2.WANASCIENCE WANASEMA JUA LINA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA BILIONI 4 SWALI KWANINI NISHATI YAKE HAIISHI NGUVU?
msingi mbovu wa maswali yako hauwezi kutoa jibu la hakika kwasababu umejilengesha kwenye jibu unalolitaka "nani"3. NANI KATENGENEZA SAYARI IKIWEMO DUNIA AMBAZO ZIMEELEA TUU KWA NGUVU YA UVUTANO
Ukianza kuuliza kwa minajili ya "nani" mi pia naweza nikakuongezea swali kua ni nani aliyemuumba muumbaji wa binadamu4. NANI KAMTENGENEZA BINADAMU KWA UPEKEE AKAMPA AKILI KUBWA YA KUISHI NA KUUNDA VITU
Hiyo nguvu imejileta yenyewe su nayo kuna kilichosababisha nguvu hiyo ikawepo??AISEE KUNA NGUVU IPO MAHALI AMBAYO IMEFANYA MAMBO YOTE HAYA.
Mwishoni umemaliza vibaya kwa "betting trick". Watu wengi humu mnaonesha hamna uhakika na kitu mnachokisema kipo na ndio maana mnaleta habari za pata potea humu.AMINI HIYO NGUVU IPO, UFE UIKOSE KULIKO KUTOAMINI HAIPO UKASHTUKIE UKO MBELE YA WAZEE 24, KATIKATI YAO KUNA MZEE WA SIKU NYINGI
Samahani Mkuu, hicho ni kilatini ? au kiingereza ?ad nauseum, ad infinitum?
kama vina hasara alishindwa mungu kuvitoa mpaka akusisitizie kwenye vitabu vyake kua uviepuke??Hivyo vitu utakavyojinyima ni kwa faida yangu na maisha yangu.
Uzinifu ulianza kabla ya biblia kuwepo, biblia imekuja kuandika kitu ambacho imekikuta. Sasa watu walioishi kabla ya biblia kuwepo waliepuka vipi hili jambo? kama hawakuweza kwanini mungu hakuwapa elimu hii ili wapate faida watu wake? Kama waliweza kuepuka, biblia ilikuja kuandika katazo hili kwa dhumuni lipi? wakati watu waliweza kuepuka bila msaada wa maandishi hayo?1. Usizini - faida unauepusha mwili wako kwa magonjwa na migogoro.
Kuua kulikuwepo kabla ya biblia haijaandikwa, mvunjaji wa sheria hii kwanza ni mungu mwenyewe aliyewapa sheria hiyo kua usiue halafu yeye mwenyewe akaua maelfu kwa maji na moto (hapa hata yeye alijutia kua hatateketeza tena ulimwengu kwa moto) kwaiyo mizani yetu ya uungwana inatuambia Mungu si muungwana kaangamiza maelfu kwa ukatili ambao hata yeye alijutia.2. Usiue - sio utu na uungwana kuondoa maisha ya binadamu mwenzako, pengine anafamilia inayomtegemea mbaya zaidi utaadhibiwa na sheria za nchi wakati na wewe unategemewa na ndugu zako
Kuiba kulikuwepo hata kabla biblia haijaandikwa. Mfano mdogo mababu zetu ambao walikua wakiishi bila biblia waliweza kupata maadili mazuri bila kutegemea hizi riwaya. Mababu zetu waliweza kujua kua wizi ni jambo baya bila hata kusoma vitabuni, sasa unavyoleta nukuu kutoka vitabuni unamaanisha bila kuandikwa jambo hilo humo lisingewezwa kuchukuliwa kwamba jambo baya??3. Usiibe - Mwenzako ametafuta mali yake kwa jasho kwanini unaiba sasa, kufuata hii amri au katazo litakusaidia usiuwawe au kuumizwa kwenye wizi na usimrudishe nyuma kimaendeleo yule unayemuibia.
4. Waheshimu baba na mama yako:- ni jambo jema kuwaheshimu wazazi wetu kwa kutuleta duniani na kutulea na kutuongoza katika njia ipasayo. Usipowaheshimu utakosa mawaidha, busara zao na mafundisho yao kwako.
tamaa mbaya eh?? Mbona mungu naye anawivu anatamani aabudiwe yeye tu hii kwako imekaaje??5. Usimtamani mke wa jirani yako, Ng'ombe wake:- hili katazo linakuepusha na migogoro na jirani yako, linakuepisha na kwenda kuuwawa au kuumizwa au kushtakiwa na serikali kwenye wizi wa mali ya jirani yako.
kwanza kabisa kuwapo kwa hizi sheria si kwamba taratibu hizi si kwamba zinafatwa kwasababu biblia imeandika, hapana. Nataka nikuambie kwamba biblia imekuja imekuta watu wakiendelea kuepuka mambo hayo. Makatazo au mahalalisho ya vitu havitegemei permit kutoka kwenye biblia ili lionekane jambo zuri au baya kwa jamii. Mbona biblia haija orodhesha makosa ya cyber criminals watu wana crack na ku hack vitu utatumia sheria ipi katika biblia kukataza jambo hili??Kwahiyo hata kama huamini Mungu lakini kuwepo kwa hizi sheria zake na nyingine kwako ni faida na si hasara
Naomba kukuuliza swali tafadhali, je umeelewa hizo quotes ulizo copy paste (including ile ya, "god does not play dice" ya Einstein ??Hao hapo Einstein Newton wako...
Kabla ya kuja hizi dini mababu zetu walikua wanaabudu mizimu, hawakumjua mungu huyu mpaka walipoletewa na wazungu pamoja na waarabKwetu uchagani miaka ya nyuma sana kabla ya wamisionari kuingia na kutangaza dini na kuileta biblia, wale wazee wa kichaga walikuwa wanaamini kuna nguvu iko mahali anaitwa Ruwa.
Walikuwa wanaamini Hii nguvu ukiiomba chochote inakupa kama kunyesha nchi mvua, kuepusha magonjwa na balaa.
Na wachaga kipindi hicho walikuwa na utaratibu wa kukutana chini ya mti mkubwa kuchinja mbuzi na kumwaga pombe ya mbege na kumuomba Ruwa awasaidie katika mambo mbalimbali
Wamisionari walivyokuja wakatangaza na kushawishi huyo Ruwa mnayemuomba ni Mungu, wakafundishwa neno la Mungu na maandiko ya biblia.
Mpaka sasa hivi Mungu anaitwa Ruwa lakini Ruwa original alikuwa Mungu wa wachaga nguvu isiyoonekana inayotenda makuu.
Naomba kukuuliza swali tafadhali, je umeelewa hizo quotes ulizo copy paste (including ile ya, "god does not play dice" ya Einstein ??