Goba parachichi 7000

Wabongo wanakupokea kama ulivyokuja, Juzi kati bajaji sehemu ya 3k nikamwambia nakupa 4k kibingwa anakaza anataka 8k hapo ni umbali wa km3 sijui alinionaje, nikanunua korosho na kuanza kushuka home mdogomdogo mita 20 mbele ananifata braza twende nikamwambia nauli yangu 2k akashia zake.
 
Hapan sio kwamba sikuweza kulipia ila kwa hiyo bei na ukiangalia vitu una ona kabisa haviendano
Kitu ambacho nimejifunza baada ya kutembea Nchi za wenzetu, usiende au usiagize huduma yoyote bila kujua Bei hata kama pesa unayo.

Wazungu wenzetu Wana value money, hata kama ni Tajiri bado hawezi kulipia kitu ambacho hakiendani thamani.

Sisi Wabongo sasa, Mtu anaingia Mgahawani anakula wali nyama bila kuuliza akiletewa BILL ya 20k anaanzanasonya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wana Bei ya mtu anaekuja anatembea, na anaeshuka kwenye gari.
Usibinyebinye km haununui, nakumbuka nilimwaga karanga nikaishia kuzilipia kisha nikamwambia muuzaji ale yeye ila bei aliyoniuzia sio bei ya karanga anayouza kila siku, siku hio alipandisha bei kisa nimezimwaga zikapasuka nikaona ili nisijaze watu acha nilipe niendelee na safari zangu tu mambo yasiwe mengi kwani shingapi?
 
Goba ndio makao makuu ya wafanyabiashara wenye mapepo wachafu
 
Hahaha ni wa mtaani au? Kama wa mtaani kapoteza mteja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ