Goal Keeper rules...

wanaume wa ziku hizi wanashobokea degree while mama zao wameishia la nne na wamewalea vizuri.kwanini wanashindwa kujifunza toka kwa wazazi wao.mi nakosa mume kisa sina degree ujue.
ha haaaa...... hujasoma ile degree haitunzi mume?
utapata tu best, siku siyo nyingi......
mi mwenyewe niliolewa sina hata degree, useme tu husband aliamua kunipeleka memkwa ndo sasa angalau ninayo....
usiwashangae wanaume tu.....
umewahi ona sisi wadada tunapopata watoto wetu hao wa digital hatuamini hata mama zetu kuwa wataweza kuwaogesha?
 

Wewe una akili sana,kinachonishangaza hiyo signature yako hai'reflect uelewa wako!!!!Badilisha basi.....:A S angel:
 

Kama ukifeli form four mkuu huwezi kutumia credit hizo kuendelea zaidi ndo maana ya max form four kwa jinsi nilivyo tafsiri. Nasiku hizi mtu hashauriwi sana kuishia form four kwa kweli.

Asante kwa ushauri wako.
 
una utani eeh, iv unasema hajasoma,
mama yako amesoma hadi la ngapi.

wenzio wanaoa hana hata darasa moja anamwendeleza
hadi anafika chuo, wewe unasema huuuuuuuuuu!

Duh haya maelezo niliyotoa nusu yananipelekesha. naweza ku undo?????
Nikuombe radhi Mamndenyi.... mama yangu aliishia la pili lile la zamani..
 
Duh haya maelezo niliyotoa nusu yananipelekesha. naweza ku undo?????
Nikuombe radhi Mamndenyi.... mama yangu aliishia la pili lile la zamani..

kilichonifanya nipendeza kwake ni kuwa na hakika kwamba atapenda kujiendeleza zaidi. hana karama hiyo.... haya mambo omba yamkute mwenzio....
 


Haya bana asante.... mwenzio unaita ushamba wakati mtaji natoa kila mwezi ......
 
Baba na Mama hawakusoma, lakini walitulea na kutupa masomo elimu ya juu, Sasa tupo OK.
G/K rules ni mtazamo duni !! Responibo yako ni kumlisha,kumvisha na kumtuza vilivyo.
Kwetu tunamfanya Queen of the house ( mama wa nyumbani) heshima zote kwake.
 
Baba na Mama hawakusoma, lakini walitulea na kutupa masomo elimu ya juu, Sasa tupo OK.
G/K rules ni mtazamo duni !! Responibo yako ni kumlisha,kumvisha na kumtuza vilivyo.
Kwetu tunamfanya Queen of the house ( mama wa nyumbani) heshima zote kwake.

Haya bana ... kwamba tuwalishe, kuwavisha, kukutafutia house girl Queen of the House???
 
Haya bana asante.... mwenzio unaita ushamba wakati mtaji natoa kila mwezi ......

pole kama limekugusa tatizo umetoa maelezo nusunusu; kama hataki kujishuhulisha na lolote usimlazimishe, unaweza kulazimisha mwishowe yakawa mengine mwache aendelee kukulelea familia sasa wewe ndio yakubidi upambane kwa bidii kwa ajili ya maendeleo ya familia yako kwa ujumla.
 
Vipi ukiishi na mwanamke asiye na kazi wala elimu say maximum form iv... Inakuwaje?

Hii nimeipenda, mimi mama yangu kaishia vidudu, baba yangu kafariki nina miaka 18, watoto wote tumeendelezwa mpaka hapa tulipofikia, na mama yetu mpaka muda huu mimi ninae na sasa ana miaka 76, itabidi tukamfukue baba tumuulize aliishi nae vipi mpaka akatufikisha hapa tulipo!!!!! kweli waswahili walisema '' masikini akipata ------ hulia mbwata'', nakuomba sana usidharau , usijidanganye na pesa za kuiba hizo ukajiona bonge la mjanja!!!!!!!!!!!
 
Mama yangu STD 7 lakini yupo fiti very smart nadhani angesoma angemfunika mzee mbaya angepitiliza hadi PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…