Wandugu Salam
Kwa takribani miezi kadhaa niliweka tangazo natafuta mke humu JF nikapata response kibao ila katika chache mabazo zimetia fora ni ile iliyonikuta pale MARYLAND MWENGE ya kuvamiwa na vijana 4 waliodai ati namsumbua dada niliyokuwa nae hapo (HUYO DADA TULIKUTANA JF) tukakubaliana tukutane hapo. Kitu kingine nilichogundua kwenye "WACHUCHU" wa JF ni kuwa wengi wao wana e-mail "feki" hususani wanatumia gmail maana ni rahisi na fasta kutengeneza Account kuliko Yahoo/hotmail. Ushauri wangu kama umepata mchuchu mwenye email ya gmail usimuamini sana fanya uchunguzi zaidi kuhusu uhalalai wa JINA/email yake nasema hivi katika watu walio ni contact yumo aliyekuwa boss wangu (mwanamke kaolewa) sehemu katika kuchombeza nikamuombaemail na namba ya simuduuh akanipa ile namba yake ya ukweli ila email feki (gmail) it seems alitengeneza email ya gmail kwa ajili ya magumashi yake ya pembeni. SO WADAU KUWENI MAKINI, msije mkatongoza wake zenu humu.