Gmail chaka la matapeli wa mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gmail chaka la matapeli wa mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by andreakalima, Oct 9, 2012.

 1. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  Wandugu Salam
  Kwa takribani miezi kadhaa niliweka tangazo natafuta mke humu JF nikapata response kibao ila katika chache mabazo zimetia fora ni ile iliyonikuta pale MARYLAND MWENGE ya kuvamiwa na vijana 4 waliodai ati namsumbua dada niliyokuwa nae hapo (HUYO DADA TULIKUTANA JF) tukakubaliana tukutane hapo. Kitu kingine nilichogundua kwenye "WACHUCHU" wa JF ni kuwa wengi wao wana e-mail "feki" hususani wanatumia gmail maana ni rahisi na fasta kutengeneza Account kuliko Yahoo/hotmail. Ushauri wangu kama umepata mchuchu mwenye email ya gmail usimuamini sana fanya uchunguzi zaidi kuhusu uhalalai wa JINA/email yake nasema hivi katika watu walio ni contact yumo aliyekuwa boss wangu (mwanamke kaolewa) sehemu katika kuchombeza nikamuombaemail na namba ya simuduuh akanipa ile namba yake ya ukweli ila email feki (gmail) it seems alitengeneza email ya gmail kwa ajili ya magumashi yake ya pembeni. SO WADAU KUWENI MAKINI, msije mkatongoza wake zenu humu.
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
 3. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  Snowhite
  kutongoza hakuna formula so no need kwenda kufundishwa! we tokelezea vile unaona inafaa kama ni kulia poa, kama ni kuandika kimemo poa kama ni kumtuma baa medi sawa tu but hoja ya leo nilioileta jamvini ni Gmail kuwa chaka la matapeli FULL STOP.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wapenzi hawatafutwi kwenye mitandao!
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm kumbe...alafu mie nilikuwa najua tuu humu jf wee tafuta wakubandua tuu...hamna wife material humu
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwa tabia hiyo kamwe hutapata... kwa kuwa na yule wako pia atakuwa anabanduliwa mahala na wenye mtizamo kama wako
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mwambie.....atafute huko mtaani huku atalalamika kila siku......
   
 8. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mi natumiaga dawa kutongoza, we nenda kahonge alteeza, mi ndumba na kadawa keusi napaka kwenye lips mwanamke hachomoi hapo!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  he he he, ukiumwa na nyoka bana, hata nyonyo ya mkeo ikikugusa unaruka.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mwache tu....siku ataingia kwenye kumi na nane za mtu (si alinusurika) ndo atajua mtandaoni noumer....
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,293
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  una akili fupi wewe , kama stori zako za kutunga!


   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hukuwaitia polisi?mla huliwa yakhe!
   
 13. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  Duuh haya wajameni mi natoa tahadhari tu.mi nishaacha kutongoza humu jf ole wenu nyie mnaochipukia mtakutana dhahama halafu mtakumbuka huu ushauri
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  story yako inaweza ikawa ya ukweli,ila kuna mengine umetia chumvi.kama hayo ya bosi.na wanaume mbona na nyinyi ni matapeli vile vile jf?kila sehemu mnajitongozea tu.ingawa sio wote
   
 15. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii imeniacha hoi, mwe...!
   
 16. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,293
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  tOKA ZAKO ACHA UWONGO, TOKA JANA UNAAMBIWA UTAJE ID HUTAJI!
  LABDA WEWE NDIO UNACHIPUKIA KUTAFUTA UMAARUFU KWA USHI-GONGO!

   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  kisukari..........:shock:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa ilikuwa ni wewe.....LOL
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hapana baba, mie nisingembakisha. Ningemtapeli kichwa hadi unyayo, siachi hata nywele! I never do failed miaaiona, you know your baby gal hehehe.
  Afu uacje kutegea malezi hukooo
   
 20. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  well yote ni mitazamo...haiwezekani wewe ukawawabandua wa wenzio wao wasikubandulie....itakuwa kijidanganya tuu.
   
Loading...