figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,636
- Thread starter

- #81
ivooo...eeeh!.basi wajirekebishe.wewe una akili sana.miawengi wanakimbilia kutaka ndoa pasipo hata kufanya maandalizi yao binafsi kwa vile wanachukulia kama fashion lakini hawana uelewa kwamba itawasumbua
hata ukimwambia hakuelewi.anakuambia eti atakusubili hadi utakapo amua kuoa.au anakuuliza kwa hiyo hutaoa?kama ninatatizo niambie nijirekebishe,mimi nataka wewe unioe.please sweetie...!!,umekubali mme wangu..!!??huku amekulalia kifuani.unakosa jibu sahihi.mia

siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
Hiyo imani yako inakuruhusu kutongoza mwanamke/Mdada wakati una mke/mchumba itakuruhusu tu koa mke zaidi ya mmoja.
Acheni upumbavu nyie wanaume, kama una mke kwa nini unaenda kuhangaika? Wengine hata kama wana pete za ndoa wanadiriki kuzivua wakati wakiwa mawindoni..Ridhikeni na wake zenu Bwana...Aggrrrrrr.........!!!!!!!!!!!!!!!!
XG kashapata wake yule.mademu utwaweza?siku zote wenyewe wanataka dunia iamin wanaume ndo tuna makosa katika mahusiano.mia

Hahaha kwel JF INAMAMBO.
Ndo Umejibu Posti ya mpenz wako aliyekuwa analalamik juu yako.
Hahah me naipenda Jf mana kuna mengi.
mwenzangu...!!.miaKwa maneno mengine ni kuwa unalazimishwa kusema uongo. Kazi kweli kweli!
hahahaaaa...mna upendo wa hali ya juu lol.eti wanataka wajiongezee cv.eti ndoa heshima kwani ambao hawajaolewa hawaheshimiki?kuweni real friend basi..!siyo urafiki unaugeuza stand ya kusubili ndoa.miawanataka kuhakikisha wanakumiliki milele hupendi?
anaanza hivi;kabla ya yote nipe historia yako ya mapenzi.ndo gia ya kuwakamua ukitanguliza hilo tu mzigo unabeba ...so akili kicwani ww nenda eti oooh tukamuane tu haf unipotezee utasugua mpaka basi......
hiyo signature yako mhMia mia

ndo gia ya kuwakamua ukitanguliza hilo tu mzigo unabeba ...so akili kicwani ww nenda eti oooh tukamuane tu haf unipotezee utasugua mpaka basi......
pole.msamehe bule j2 hii.ameongea kishikaji zaidi.tkzee.miaHiyo lugha uliotumia imenichefua sana
Hayupo. MiaMia hivi hiyo nitajiriba yako kutoka kwa XGIRLFRIEND kuna na wengine?
anaanza hivi;kabla ya yote nipe historia yako ya mapenzi.
unamjibu;
mimi nlikuwa nae lakini hanifai kuweka ndani yule alikuwa wa kuzugia tu.natumia nafasi kukuomba uwe wangu mwandani.
utaskia;subili nifikilie ntakupa jibu.
kesho anakuja getto unachoma kwisha habali yake.
akikuganda unamwambia penzi limechuja skutaki tena.mia