KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,448
- 5,448
Mwenzetu Paskali kapata kura moja huko Kawe. Tumsifu kwa kujipigia kura na kuhakikisha kwamba haipotei.
Kama amepigwa ban, Hvi akitaka kuongeza makalio ataenda wapi?Hoa hamahama acha wajifunze, chama kilichowafanya kutambulika wamekikimbia, hata jf hamtaki single mothers ha ha haa nani akale makombo huko walishindwa nini leo tuwapokee.
Mioyo yao iko juu juu hawatosheki yaani matumbo yana mapango hawashibi na shukrani hawana.
Hivi wale dada zako waliosema walikuwa wanabakwa kule kwenu wakahamia kwetu wana hali gani.
Una mkoa mzima yaani mkoa ni kama nchi vile maana mpaka bahari unayo, mbaya zaidi hata jina lako ni unga unga tu leo unakuwa hushibi yaani hutosheki pamoja na kuwa huko duniani ushaambiwa usikanyage ambako ndo ulisaidiwa kuwekewa mtoto, baba yako akakukanya sitaki sitaki wewe kichwa kigumu
Haya labda baba akamkomboe huko kapuni.
Anyways, hayanihusu
Siku ulete ya lile jengo lililozaa chemchem huko kwenu.
Hajasema yeye,katumwa na Chama akaseme....Chama sio chake,yeye ni kapewa dhamana ndani ya chama,ila uamuzi wa kura za wazi umeamuliwa na vikao halali na yeye kutumwa kusema...Aliyesema kura zipigwe na zihesabiwe kwa uwazi ni nani kama siyo yeye Magufuli?
Hakujua lolote..ni clueless kama clueless wengine!Ina maana alijua kuwa kuna uwezekano anaotaka wasipite na alikuwa tayari kwa hilo?
Yeye hajasema lolote la maana worth discussing here!Aliyesema kwamba watu awaridhiki ni nani? Si yeye?
CCM kama taasisi na uamuzi wa vikao vimeamua mchakato uwe wazi basi mawe kageuka Mungu?ometimes watu mnafurahisha sana kila linalotokea mnpinga au kushangilia.
Ukweli utabaki kama ulivyo hao wote ni CCM na akunaga vita ya CCM kwa CCM isiyoisha.
Upinzani hautitii unahujumiwa na dolaAkili zakipinzani bhana! Wao hawaoni yakwao yanatitia!
Kasema yeye kama ulitazama siku wanapiga kura Dodoma ungeona maana utaratibu waliokuwa wameweka aliuondoa unless una lengo tu la kupinga.Hajasema yeye,katumwa na Chama akaseme....Chama sio chake,yeye ni kapewa dhamana ndani ya chama,ila uamuzi wa kura za wazi umeamuliwa na vikao halali na yeye kutumwa kusema...
Acha kumgeuza Mungu!
Hakujua lolote..ni clueless kama clueless wengine!
Yeye hajasema lolote la maana worth discussing here!
Kama wewe unaona ni sawa ni haki yako,mimi naona hana any worthy weight or anything.
Si yeye wala hawezi kua yeye.
CCM kama taasisi na uamuzi wa vikao vimeamua mchakato uwe wazi basi mawe kageuka Mungu?
Yeye alikua mmojawapo wa wahudhuriaji wa vikao vilivyotoa huo uamuzi, na wala haujatoka kwake,100% hilo pendekezo limetoka kwa wengine na sio yeye.
Huna proof ya chochote na mimi sina proof ya chochote!
Who cares what you or me think about anything?
Nobody
Nataka niwaambieKinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.
1. Karibia wote waliondooka upinzani kwa kejeli na kebehi nyingi na kujiunga na CCM wamepigwa chini
2. Wapendwa wa mkulu kama Mwakyembe, Makonda nk wamepigwa chini
3. Watu kama Mrisho gambo wamepita
Pamoja na kwamba huu unaweza usiwe mwisho wao kisiasa lakini tayari kengele ya hatari imeshalia. It's too late kufanya lolote.
Yajayo ni mengi, yajayo yanafurahisha, kuna wapenzi huamua kusaliti mahusiano kwa hasira ya kutendwa.
Hii hasira kali ya sasa ikizidi kutamalaki, naona wazi ghorofa linatitia, mbuyu huoooo unapinduka.
Safi sana.Halafu bado unadiriki kushiriki..dah..unapata ujumbe gani hapa?
Waunga juhudi:
Kafulila chalii
Mtolea chalii
Lijuakali chaliii
Silinde Chalii
Katambi Chalii
Albert Msando chalii
Jushua Nasari Chalii
Patrobas Katambi chalii
Waitara chalii
Mashinji kapita?Mwikabe, Lijualikali, Nasari, mna hali yani?
Wapi!Mashinji kapita?
Katumwa kusema...Kasema yeye kama ulitazama siku wanapiga kura Dodoma ungeona maana utaratibu waliokuwa wameweka aliuondoa unless una lengo tu la kupinga.
Na kama unasema CCM ni taasisi maamuzi hayawezi fanywa na Magufuli peke yake, sasa iweje uwaze kuwa ataweza mrudisha Makonda kwa maamuzi yake? Kwanini usiwaze akirudi yatakuwa ni maamuzi ya CCM kama taasisi siyo Magufuli? Hueleweki sasa
Kinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.
1. Karibia wote waliondooka upinzani kwa kejeli na kebehi nyingi na kujiunga na CCM wamepigwa chini
2. Wapendwa wa mkulu kama Mwakyembe, Makonda nk wamepigwa chini
3. Watu kama Mrisho gambo wamepita
Pamoja na kwamba huu unaweza usiwe mwisho wao kisiasa lakini tayari kengele ya hatari imeshalia. It's too late kufanya lolote.
Yajayo ni mengi, yajayo yanafurahisha, kuna wapenzi huamua kusaliti mahusiano kwa hasira ya kutendwa.
Hii hasira kali ya sasa ikizidi kutamalaki, naona wazi ghorofa linatitia, mbuyu huoooo unapinduka.
Siasa zinaenda na wakati.Kinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.