Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,157
- 31,334
Aliyesema kura zipigwe na zihesabiwe kwa uwazi ni nani kama siyo yeye Magufuli? Ina maana alijua kuwa kuna uwezekano anaotaka wasipite na alikuwa tayari kwa hilo?Kuna ANTI MAGUFULI sentiments zinatoka kwa wananchi towards Magufuli and his minions!
Kuna hasira ipo ndani kwa ndani
Trust me,Magufuli atakuja kuelewa vizuri kabisa anachodhani kua atashinda kama anavyodhani si kweli
Sanduku la kura ndio atajua maana yake ni nini!
Na ule ujanja wa eti kwavile mimi namiliki serikali sijui nitalazimisha,sio rahisi kama anavyodhani!
Ni even harder to do that!
Ngoja wananchi tuwafundishe hawa maana ya siasa ni nini na nguvu ya kura ya mwananchi ni nini!
Watch this space.
Aliyesema kwamba watu awaridhiki ni nani? Si yeye?
Sometimes watu mnafurahisha sana kila linalotokea mnpinga au kushangilia.
