and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,111
Jamaa wa Brussels kura mnapiga kwenye Zoom?Aaah Njoo tusherekee ushindi wa Bashite.
Jamaa wa Brussels kura mnapiga kwenye Zoom?Aaah Njoo tusherekee ushindi wa Bashite.
Jamaa wa Brussels kura mnapiga kwenye Zoom?
Calist Lazaro chali pia akiambulia kura 2. Aibu kubwa sana. Meya aliyekuwa na nguvu Arusha mjini akiwa CDM amevuna aibu kubwa CCM baada ya kujipiga mnada kwa Polepole enzi hizo.Chali
Naona kimeekuuma hoiiiiAkili zakipinzani bhana! Wao hawaoni yakwao yanatitia!
Maana yake ni nini kwa usemi huu?CCM kwisha habari yao.
That's exactly right..so time is a carrier not a speakerTime can't talk as the way you think.. ngumu kuja kuurejesha muda na uandike tofauti pale itakapokuja kuwa tofauti na kile ulichoandika, but time ndo imebeba hizo roho zinazozungumza!
Time ndo imebeba nadharia ya uwepo wa hizo roho zisemazo na zinatenda ndani ya muda na zinabadilila ndani ya huohuo muda, time still great.
Nasikia yule Mtt pendwa Amebaki na tako tu kwa Sasa hv.![]()
Kuna ANTI MAGUFULI sentiments zinatoka kwa wananchi towards Magufuli and his minions!Kinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.
1. Karibia wote waliondooka upinzani kwa kejeli na kebehi nyingi na kujiunga na CCM wamepigwa chini
2. Wapendwa wa mkulu kama Mwakyembe, Makonda nk wamepigwa chini
3. Watu kama Mrisho gambo wamepita
Pamoja na kwamba huu unaweza usiwe mwisho wao kisiasa lakini tayari kengele ya hatari imeshalia. It's too late kufanya lolote.
Yajayo ni mengi, yajayo yanafurahisha, kuna wapenzi huamua kusaliti mahusiano kwa hasira ya kutendwa.
Hii hasira kali ya sasa ikizidi kutamalaki, naona wazi ghorofa linatitia, mbuyu huoooo unapinduka.
Halafu bado unadiriki kushiriki..dah..unapata ujumbe gani hapa?Vibendera kama kawaida yao
Full kudanganyana
Kisa Like na Sifa JF
Kutwa kujidanya jidanganya
Ilikuwa 2000,Ikawa 2005,Ikaenda 2010
Mara 2015
Leo yanarudia yale yale 2020
CCM Kuondoka au kuanguka sio kizazi chenu hiki cha wajinga wakudanganyana nakujiona wenye akili kumbe wapuuzi tu
PoleAsante kwa mtazamo lakini huwa sipangiwi cha kufanya. Kuniita mpuuzi haimaanishi kuwa mimi ni mpuuzi huo ni mtazamo wako..na katika maisha ukweli si chochote bali uhalisia ndio kila kitu.
Wakulamba miguu ya Mshanajr najua mpo wengi! Ni kumpa makavu tuNaona mke wa makonda hasira zimekupanda kichwani
Mkondo wa maji huwa haubadiliki kirahisi! CCM kama CCM imeshikiliwa na polisi tu sio nguvu ya umma.


.Time can't talk as the way you think.. ngumu kuja kuurejesha muda na uandike tofauti pale itakapokuja kuwa tofauti na kile ulichoandika, but time ndo imebeba hizo roho zinazozungumza!
Time ndo imebeba nadharia ya uwepo wa hizo roho zisemazo na zinatenda ndani ya muda na zinabadilila ndani ya huohuo muda, time still great.