Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Jina "Mpuuzi" hutoholewa kutoka "puuzi"
Ndipo unakutana na puuza kadhalika "Mpuuzi"

Mpuuzi ni mtu aliyethibitika kupuuza.

Mshana Jr amepuuza nini hata umwite mpuuzi?
Sidhani kama ataweza kukujibu
 
Mwakyembe yupi aliyepigwa chini? Au mimi sijui kusoma?
Atateuliwa kwenye nafasi zile kumi aiseeee
 
Na unapochangia kama hivi ndio unajianika kuwa wewe ni wa upande gani japo kinafiki kabisa unasema huna upandekatika maisha ni vema kujipambanua wazi kuwa msimamo wako sio bendera
Hapo pana shida sana, kudhani kuwa kila anayepinga hoja anatoka upande wao. Yaani hoja ikipingwa basi mpinga hoja anajitanabaisha kuwa yupo upande tofauti na wa mtoa hoja.

Unajifunza kwa mazuri mwenzako anayofanya, mkubwa akivuliwa nguo anashika balls na kuchutama. Niambie chama kikuu cha upinzani kina utaratibu gani kupata "watia nia hatimaye wagombea"? No wonder jana pages zote online zilikuwa CCM, vitu vidogo tunavidharau ila vinaondoa credibility ya kuwa chama kikubwa.

Haya sema tena natoka upande ule.
 
Hapana kila chama kina utaratibu wake na muda wake...kama jana page zote zilikuwa huko kwingine huo ni utaratibu wao...mada yangu ni tofauti kabisa na haya..iko deep zaidi ya kile nilichoona sasa..ikifika wakati wa wengine nitaandika pia
 
Haya mzee!
 
Ahaaa,,umechemsha bwashee.yani kupigwa chini Makonda na Mwakyembe ndo ghorofa inatitia?
Waliopitishwa na walio achwa ni CCM.
waliopiga kura ni CCM.
wekeni akiba ya maneno nafasi za uteuzi ndani ya serikali ni nyingi.bado kuna viti maalum kumi vya Rais.kwenye siasa mambo yanabadilika muda wowote.
 
Hakuna awali mbovu nimeshasema ..nimewataja hao kama mfano..na salamu zimefika mbali
 
Hoa hamahama acha wajifunze, chama kilichowafanya kutambulika wamekikimbia, hata jf hamtaki single mothers ha ha haa nani akale makombo huko walishindwa nini leo tuwapokee.

Mioyo yao iko juu juu hawatosheki yaani matumbo yana mapango hawashibi na shukrani hawana.

Hivi wale dada zako waliosema walikuwa wanabakwa kule kwenu wakahamia kwetu wana hali gani.

Una mkoa mzima yaani mkoa ni kama nchi vile maana mpaka bahari unayo, mbaya zaidi hata jina lako ni unga unga tu leo unakuwa hushibi yaani hutosheki pamoja na kuwa huko duniani ushaambiwa usikanyage ambako ndo ulisaidiwa kuwekewa mtoto, baba yako akakukanya sitaki sitaki wewe kichwa kigumu

Haya labda baba akamkomboe huko kapuni.

Anyways, hayanihusu

Siku ulete ya lile jengo lililozaa chemchem huko kwenu.
bora singo maza uoe kuliko ukute mkeo watoto wote aliokuzalia sio wako
 
Si nmesikia hayo matokeo yaweza pinduliwa
JamiiForums1503497949.jpg
 
Back
Top Bottom