Asante kwa mtazamo lakini huwa sipangiwi cha kufanya. Kuniita mpuuzi haimaanishi kuwa mimi ni mpuuzi huo ni mtazamo wako..na katika maisha ukweli si chochote bali uhalisia ndio kila kitu.
Jikite kwenye mada wewe acha porojo jamviniAkili zakipinzani bhana! Wao hawaoni yakwao yanatitia!
We lazima nidili na wewe jitu kubwa chupi ndogo jitu dogo chupi kubwa..😂Kada Huyo....
Jr![]()
Nimefarijika kuona kuwa sipo peke yangu JF. Na Tanzania itajengwa na watu walio neutral si wababaishaji. UbarikiweMshana , tunajua ulivyovuna pesa za propoganda uchaguzi ulopita kwa chadema kwa kutengeneza taharuki na taarifa za uongo kukifanya chadema kionekane chama tishio kwa ccm.
Safari hii chama hakina fedha, wazee wamekausha kibubu, fedha chafu haziingii tena.
Kwahiyo hizo propoganda unazokuja nazo ni nyepesi sana.
Mgepiga kura za wazi kuwapata hao wagombea wenu basi ungekuwa na hoja.
Bro! Twendelee kujifukiza. Naomba unitumie video ya mwakiyembe akiwa anajinadi tafadhali sijaiona maanaKinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.
1. Karibia wote waliondooka upinzani kwa kejeli na kebehi nyingi na kujiunga na CCM wamepigwa chini
2. Wapendwa wa mkulu kama Mwakyembe, Makonda nk wamepigwa chini
3. Watu kama Mrisho gambo wamepita
Pamoja na kwamba huu unaweza usiwe mwisho wao kisiasa lakini tayari kengele ya hatari imeshalia. It's too late kufanya lolote.
Yajayo ni mengi, yajayo yanafurahisha, kuna wapenzi huamua kusaliti mahusiano kwa hasira ya kutendwa.
Hii hasira kali ya sasa ikizidi kutamalaki, naona wazi ghorofa linatitia, mbuyu huoooo unapinduka.
Umemjibu Kigreat thinker.Asante kwa mtazamo lakini huwa sipangiwi cha kufanya. Kuniita mpuuzi haimaanishi kuwa mimi ni mpuuzi huo ni mtazamo wako..na katika maisha ukweli si chochote bali uhalisia ndio kila kitu.
Uzuri linaendana na mhusika..😅umepata tusi jipya naona
Jr![]()
Magufuli alishindana na nani hadi kupata ushindi wa asilimia 100? Acha vichekesho Mkuu.Mshana , tunajua ulivyovuna pesa za propoganda uchaguzi ulopita kwa chadema kwa kutengeneza taharuki na taarifa za uongo kukifanya chadema kionekane chama tishio kwa ccm.
Safari hii chama hakina fedha, wazee wamekausha kibubu, fedha chafu haziingii tena.
Kwahiyo hizo propoganda unazokuja nazo ni nyepesi sana.
Mgepiga kura za wazi kuwapata hao wagombea wenu basi ungekuwa na hoja.
wameificha
Jr![]()