Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Asante kwa mtazamo lakini huwa sipangiwi cha kufanya. Kuniita mpuuzi haimaanishi kuwa mimi ni mpuuzi huo ni mtazamo wako..na katika maisha ukweli si chochote bali uhalisia ndio kila kitu.
Umezidi
 
Mshana Jr,

Utakuwa ni mpuuzi wa hali ya juu kulinganisha uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM na umaarufu wa JPM. Sometimes lazima Mshanajr uelezwe ukweli
Mkuu huna haja ya kukasirika kwa mtoa mada kwani ukweli uko wazi. Wako Watia nia wengi walioimba na kusifu hizo nyimbo unazoziita umaarufu wa JPM lkn wameishia kuangukia pua zao.

Ardhi imeshapasuka kuelekea lilipo ghorofa. Mmiliki wake na wote waliomo ndani wamejawa na hofu. Hata wewe pia umejawa na hofu na ndiyo maana umekimbilia kumuita mtoa mada "Mpuuzi" na kwakuwa siku hazigandi tutaona "Mpuuzi" ni nani.
 
Mshana Jr,
Mimi siyo CCM ila naiona iko vizuri sana kuliko wakati wowote. Jinsi walivyopiga kura na kuhesabu kwa uwazi ni pigo kubwa sana kwa wapinzani ambao walitegemea mchakato wa kura za maoni ndani CCM utakuwa na mizengwe na kusababisha malalamiko mengi.

Mimi sina chama chochote pia. Lakini hao unaosema wako imara kuliko wakati wowote, sio kweli. Hao wanaishi kwa nguvu za dola na taaasisi zinginezo. Ndicho kinachowapa kuendelea kupumua. Wenyewe kama chama cha siasa hawana misuli yoyote ya kisiasa wala ushawishi. Pakiwepo na NEUTRAL ground, ndio unakuwa mwisho wao kwenye ramani za siasa hapa nchini. Na wenyewe wanalijua hilo vizuri sana na wameshalikiri.
 
My country people!
 
Mkuu huna haja ya kukasirika kwa mtoa mada kwani ukweli uko wazi. Wako Watia nia wengi walioimba na kusifu hizo nyimbo unazoziita umaarufu wa JPM lkn wameishia kuangukia pua zao.

Ardhi imeshapasuka kuelekea lilipo ghorofa. Mmiliki wake na wote waliomo ndani wamejawa na hofu. Hata wewe pia umejawa na hofu na ndiyo maana umekimbilia kumuita mtoa mada "Mpuuzi" na kwakuwa siku hazigandi tutaona "Mpuuzi" ni nani.
Ungejua tofauti kati ya uchaguzi wa ndani na wa jumla usingenibishia! Uchaguzi wa ndani ni wa mgombea binafsi na unaakisi ni jinsi gani anapendwa au amejipanga. Uchaguzi wa jumla ndio unaweza kuakisi jinsi chama au JPM anavyokubalika. Nasisitiza ni ujuha kulinganisha matokeo ya uchaguzi ndani ya CCM na JPM wakati yeye kasema hakumtuma mtu. Aione Mshanajr
 
Asante kwa mtazamo lakini huwa sipangiwi cha kufanya. Kuniita mpuuzi haimaanishi kuwa mimi ni mpuuzi huo ni mtazamo wako..na katika maisha ukweli si chochote bali uhalisia ndio kila kitu.
ama mpotezee au mpe kibusha
 
Mshana Jr,

Utakuwa ni mpuuzi wa hali ya juu kulinganisha uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM na umaarufu wa JPM. Sometimes lazima Mshanajr uelezwe ukweli
Jina "Mpuuzi" hutoholewa kutoka "puuzi"
Ndipo unakutana na puuza kadhalika "Mpuuzi"

Mpuuzi ni mtu aliyethibitika kupuuza.

Mshana Jr amepuuza nini hata umwite mpuuzi?
 
Badala ya ku-emulate wenzenu wanachofanya, mpo kufikiria jinsi a huge ship is gonna sink? Upinzani wa nchi hii ni majanga sana, angalia mchakato wa chama kikuu cha upinzani, full drama, hawaeleweki na hata mchakato wa kupata wagombea upo upo tu.

Ya kujifunza mjifunze, mnapoandika too much about your rivals mnaonyesha ni kiasi gani mnajilinganisha nao badala ya kuwa na njia sahihi za kupata wagombea wa nafasi mbalimbali.
 
Mshana Jr,
Mimi siyo CCM ila naiona iko vizuri sana kuliko wakati wowote. Jinsi walivyopiga kura na kuhesabu kwa uwazi ni pigo kubwa sana kwa wapinzani ambao walitegemea mchakato wa kura za maoni ndani CCM utakuwa na mizengwe na kusababisha malalamiko mengi.
Kabla hujaondoka, na sisi wapiga kura tutapata fursa ya kura zetu kuhesabiwa live au mabox lazima yabebwe?
Au tukipiga tu tutawanyike?
 
Badala ya ku-emulate wenzenu wanachofanya, mpo kufikiria jinsi a huge ship is gonna sink? Upinzani wa nchi hii ni majanga sana, angalia mchakato wa chama kikuu cha upinzani, full drama, hawaeleweki na hata mchakato wa kupata wagombea upo upo tu.

Ya kujifunza mjifunze, mnapoandika too much about your rivals mnaonyesha ni kiasi gani mnajilinganisha nao badala ya kuwa na njia sahihi za kupata wagombea wa nafasi mbalimbali.
Na unapochangia kama hivi ndio unajianika kuwa wewe ni wa upande gani japo kinafiki kabisa unasema huna upandekatika maisha ni vema kujipambanua wazi kuwa msimamo wako sio bendera
 
Back
Top Bottom