Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Kwa wataalamu wa mikakati wanajua kilichowaangusha uliowataja, halafu CCM ni CCM iwe asili au chotara bado ni CCM tu
 
Kwa kiasi fulani inaweza kuwa imenigusa ila sio kivile maana mi ni mfatiliaji tu we siasa!.. kilichonigusa umeusemelea muda badala ya kuuacha muda useme wenyewe.
Muda hua hausemi. Muda hauna mdomo muda hauna roho, vyenye roho ndio husema.
 
Hakuna unacho andika sijui niite utabiri/uchambuzi kikawa sawa hata kwa asilimia 1 lazima kifeli kiwe kinyume chake, ndio maana huwa napenda sana kusoma maandiko yako halafu huwa nageuza ulichoandika nakuwa napata jibu tayari
Utabiri wa Simba kumlamba CCM 4 hujauona?
 
Mshana Jr,
Mimi siyo CCM ila naiona iko vizuri sana kuliko wakati wowote. Jinsi walivyopiga kura na kuhesabu kwa uwazi ni pigo kubwa sana kwa wapinzani ambao walitegemea mchakato wa kura za maoni ndani CCM utakuwa na mizengwe na kusababisha malalamiko mengi.
 
Muda hua hausemi..muda hauna mdomo muda hauna roho, vyenye roho ndio husema
Time can't talk as the way you think.. ngumu kuja kuurejesha muda na uandike tofauti pale itakapokuja kuwa tofauti na kile ulichoandika, but time ndo imebeba hizo roho zinazozungumza!

Time ndo imebeba nadharia ya uwepo wa hizo roho zisemazo na zinatenda ndani ya muda na zinabadilila ndani ya huohuo muda, time still great.
 
Moja kati ya Jambo CCM wamefanya la maana sana ni kuruhusu huu mchakato uwe wazi kabisa, Hapo ni wazi wameona kabisa kuwa Tatizo liko wapi na kujua tatizo ni Nusu tayari ya ushindi, Ccm oyee
 
Back
Top Bottom