khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,088
- 967
Apo kwenye "sabufa ya kisukuma" ndo kazngua Bigtime
Kwa hiyo unaogopa Kaka au?yaani MTU ambae mmepanga muoneshane na mzigusanishe nyuchi zenu kabisa,,unaogopa kumwambia tupambane,,kwani yeye anafikiri vinapatikana kiurahisi,,,ingekuwa vinapatikana kiurahisi asingeuza uchi na kukosoa kiurahisi rahisi mambo yasiyo mhusu!!
Apo kwenye "sabufa ya kisukuma" ndo kazngua Bigtime
Lakini kwako wewe inakuwa ni sahihi kabisa yeye kukuambia Maneno ya karhaa kama hayo??Siogopi Mkuu.
Ishu ni kuwa pisikali nyingi za kibongo ni marufuku kuziambia maneno ya karaha kama hayo😂
Kuna pisi hazitaki mambo ya lodgeBinafsi kumleta gettho/home dawiri wa one night stand kidogo sioni kama imekaa vizuri. Fujo zote nivyema kumalizia guest, lodge au hotel. Fiancee kidogo angalau.
Lakini kwako wewe inakuwa ni sahihi kabisa yeye kukuambia Maneno ya karhaa kama hayo??
Wakuu sio kuremba tu geto lako fanya uwe na maisha binti zako wasijebabaisha na visent na vigeto uchwara visivyoeleweka
na chuki yako juu ya wanawake ikakomazwa
Wakusogelee mtu uliyepinda kama wewe..Matapeli wote wananijua na hawathubutu kunisogelea
Wakusogelee mtu uliyepinda kama wewe..
Akusogelee nani, umepinda, sio kwa matapeli tu hata kwa watu wa kawaida umepinda, wanaokusogelea nao wamepinda,hawajielewi.😂😂
Mnaniogopa Kwa nini sasa?
Njooni tufanyiane huo utapeli, ninyi si mnajiona mabingwa!!
Iko wazi hio bosKula chuma hiyo
Akusogelee nani, umepinda, sio kwa matapeli tu hata kwa watu wa kawaida umepinda, wanaokusogelea nao wamepinda,hawajielewi.
Hata ukiniita tapeli, wewe umepinda,this is a fact.wewe kila mwanamke tapeli?!😂😂
Raha ya mwanaume uambiwe hivi na Wanawake matapeli.
Ukiona mwanaume unasifiwa na Wanawake matapeli ujue kuna sehemu unakosea
Hata ukiniita tapeli, wewe umepinda,this is a fact.wewe kila mwanamke tapeli?!
Wewe kila siku topics ni hizi hizi za kuponda wanawake,utasema unachukulia wanawake in postive way??? kila mtu anajua unachukulia wanawake kama matapeli wanyonyaji, wanawake wenye akili zao wewe huwajui,hawajawahi kukusogelea....upo tuWapi nimesema kila Mwanamke Tapeli?
Wanawake wenye Akili zao ndio wanajua ninazungumzia nini.
Matapeli na wanyonyaji lazima wanione nimepinda
Wewe kila siku topics ni hizi hizi za kuponda wanawake,utasema unachukulia wanawake in postive way??? kila mtu anajua unachukulia wanawake kama matapeli wanyonyaji, wanawake wenye akili zao wewe huwajui,hawajawahi kukusogelea....upo tu
Sio matapeli tu, hawa wanawake wenye 'akili zao' hawawezi kukusogelea!Sawasawa!
Acha wanione hivyohivyo.
Matapeli hawawezi kusogea