miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
gheto rules,pasu kwa pasu,hamna kudhulumiana
hahahah tangu lini nikaishi ghetto mimi wakati nishazoea ghorofani kama mtoto wa njiwa,umeanza kupakana nyumbani kwako eehh!!!
hata mimi naona ,maana naona wamenikimbia wameniachia kesi peke yangunitawapiga mateke
what about if i mess up with ur hubby Mokoyo??..
hata mimi naona ,maana naona wamenikimbia wameniachia kesi peke yangu
basi nanyamaza ila umenionea bure,wenye kosa wengine ....topic :closed_2:yani wewe kujitia mdomo humu umeniudhi nakwambia
basi nanyamaza ila umenionea bure,wenye kosa wengine ....topic :closed_2:
Asikutishe Huyo miss chagga Hilo ndo ghetto Lao na baba yake Bazazi yahaya utafiti na km miss chagga anabisha tuwaite mama Zake hapa wathibitishe!
usiwaite tafadhali,tuyamalizeni kimya kimya kimya
we Ntuzu na hao wenzako naombeni muiche my family!nampenda sana mpnz wangu [MENTION=19697utafiti[/MENTION] na my daughter miss chagga kwahivo gonna panish every 1 ambaye anawadisturb. miss chagga niuzie hii kesi kwa bei yoyote niiungurumishe mother house mwenyewe.Teh Teh Teh wakibisha tu nawaita!
we Ntuzu na hao wenzako naombeni muiche my family!nampenda sana mpnz wangu [MENTION=19697utafiti[/MENTION] na my daughter miss chagga kwahivo gonna panish every 1 ambaye anawadisturb. miss chagga niuzie hii kesi kwa bei yoyote niiungurumishe mother house mwenyewe.