hawakupata hata sh kumi just kujikweza tu,naomba nisubiri kauli kutoka kwa miss chagga kwamba wewe ndo tulizo lake halisi la moyo na baba yake mlezi utafiti then nikupe hongera zako.
ila mkuu miss chagga anamtetea baba yake eti anasema nyumba kubwa...
kumbe wewe ndo tulizo la moyo la miss chagga mbona mimi nilitambulishwa kwa mwingine???
Kua makini umewaona na Wengine Hapo? utafiti anafanya biashara! Maisha yenyewe ya Gheto! Msosi kwa kupimiana Unafikiri ataacha kumuuza miss neddy ??
acha bana?
Kwani Ntuzu hujui kuwa utafiti ni yahaya wa Lady JD mbona anajulikana muulize hata binti yake miss chagga kuwa baba yake anaishi wapi kama anajua
Acha kukwepa weye! Hilo ghetto lako kabisa ata miss chagga Kaniambia ukweli!
Wewe Unafikiri Huyo mdingi wake miss chagga alivyochoka atakataa?
miss chagga baba yako utafiti ana majina mangapi? Na anaishi wapi?
hahahaha kwa hiyo baba yake miss chagga ni pesa kwanza,mengine yanafuata baadae
kwa hiyo na Mokoyo nae yupo kwenye mchujo au ashapasi yeye??
kweli hapa baba mkwe ninaye.