Gharama za Umalaya..

Gharama za Umalaya..

Nimekuta hiii tahadhari twetter

" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni gharama na anguko lake linaweza kukupeleka kwenye umaskini wa kutupwa.
Hasa kwa wanaume..!
Shtuka umalaya ni gharama.!

Wakristo wanajua Biblia inasema midomo ya malaya ni laini kama mafuta..



Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli gharama za umalaya ni kubwa sana... Ukizitafakari kwa kina utaona ni bora kutulia na mpenz/mke mmoja
 
Back
Top Bottom