hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
HahaKwani shida iko wapi mimi si nawaita mpate ujumbe? Kwani nimesema we malaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ilipaswa uwaite na wanawake pia ... kwani hao hautaki waupate huu ujumbe !?Kwani shida iko wapi mimi si nawaita mpate ujumbe? Kwani nimesema we malaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhaa haa ... CC: KhantweNitajie kitu chochote kitamu kisichokuwa na gharama,hata kuingia kupata utamu wa JF tu ni gharama sembuse shimo takatifu linaloteleza.
Tuache [emoji23] [emoji2]
Fanya kazi wewee and mind your own business
[emoji23][emoji23][emoji23]nilikumiss[emoji23][emoji23][emoji123][emoji106]
😂😂😂unadhan ninamcheka basi!simcheki..mtoa mada yupo sahihi sana....kana mashauziii👎
Really !? Huwa anawa sumbua kweli !?[emoji23][emoji23][emoji23]unadhan ninamcheka basi!simcheki..mtoa mada yupo sahihi sana....kana mashauziii[emoji107]
Kweli wanaume wote wa jf umeona wanafanana na hayo aliyoyasema mtoa uz?
Hivi hii comment yangu mbona mnaielewa tofauti kaka zangu? Ujumbe umekuja Jf na umewalenga has a jinsia yenu, kuwacc sijamaanisha nyie ni Malaya, naomba nisieleweke hivyo nimewaita ninyi mje mchukue ujumbe wenu ikibidi mchukue tahadhari. Wanaume huku wastaarabu wapo wengi tu akiwemo shemeji yako🙈🙈Kweli wanaume wote wa jf umeona wanafanana na hayo aliyoyasema mtoa uz?
Kweli hakuna mwanaume hata mmoja ambae huwa unamwona n mtu mstaarabu angalau hata kwa kuangalia comments zake? Umetudhalilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa kumbe nae yuko huku bas sawa umeeleweka.Hivi hii comment yangu mbona mnaielewa tofauti kaka zangu? Ujumbe umekuja Jf na umewalenga has a jinsia yenu, kuwacc sijamaanisha nyie ni Malaya, naomba nisieleweke hivyo nimewaita ninyi mje mchukue ujumbe wenu ikibidi mchukue tahadhari. Wanaume huku wastaarabu wapo wengi tu akiwemo shemeji yako[emoji85][emoji85]