Gharama za Umalaya..

Gharama za Umalaya..

Nimekuta hiii tahadhari twetter

" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni gharama na anguko lake linaweza kukupeleka kwenye umaskini wa kutupwa.
Hasa kwa wanaume..!
Shtuka umalaya ni gharama.!

Wakristo wanajua Biblia inasema midomo ya malaya ni laini kama mafuta..



Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja Malaya waje wapate somo.
 
Nitajie kitu chochote kitamu kisichokuwa na gharama,hata kuingia kupata utamu wa JF tu ni gharama sembuse shimo takatifu linaloteleza.
 
Back
Top Bottom