Gharama za matibabu ya dereva wa Lissu zimefika kiasi gani?

Mnaongea sana lakini mlichoulizwa kimewashinda kujibu.Hatukuuliza gharama za matibabu ya Lissu mkaja kutangaza hapa,je Dereva anatibiwa bure?Au mliunganisha na za Muheshimiwa zikafika 400m?mbona ni Rahisi kujibu?mapovu ya nini?Naomba mjibuni msilete mambo ya ajabu,Kama yupo guest amelala semeni.
 
itakua zimejumuishwa na za mh.nadhani
 
Baada ya Mwenyekiti Bwn.Mbowe kutupa jumla ya gharama za matibabu ya lisu mpaka kufikia sasa gharama Ambazo zimefika kiasi cha shilingi za kitanzania million 400;

kwakua dereva wa lisu pia yuko huko na kwakua anapata matibabu kutokana na tukio lililomkuta lisu, sio vibaya ili kuweka rekodi sawa tukaambiwa kama tulivyoambiwa kwa lisu gharama za matibabu yake zinatoka Wapi na zimefika kiasi gani mpaka sasa,

au mchanganuo uliotolewa na mwenyekiti unajumuisha wote wakili?
Dereva anatibiwa bure na mwenyekiti pamoja na jopo lake. Labda ungeulizia gharama nyingine za kumpa chakula kinywaji na malazi.
 
Mbona huulizi kwamba mbona harambee ya matibabu inafanywa kwa ajili ya Lisu tu?

Ila kama na yenye alifanyiwa hiyo fund raising mbona wangetoa.
 
Back
Top Bottom