Gharama za kuingiza gari, Mazda Demio '03

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Hello wakubwa,kutokana Gharama za mafuta kuzidi kupanda kila siku nimeamua kupumzisha SUV yangu na kuagizia Mazda Demio ya 2003,CC 1,300CIF US$ 2,100Naomba usaidizi wa ukokotozi wa gharama zote za bandari, tra, agency fee n.k.SUV nliichukulia showroom hapa bongo, hivyo michakato hiyo sikuipitia
 
try this estimator Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com Labda na wewe unisaidie jambo moja hivi umepata taarifa za kutosha kuhusu hiyo mazida demio, hasa upatikanaji wa spea parts zake?
Thanx mkuu, uchunguzi nimeufanya kiasi,kusema ukweli upatikanaji wa spare kwa gari ambayo sio jamii ya toyota ni mgumu kidogo but kwa kua naitoa nje nategemea mpaka ianze kuzingu angalau madukan zitakuwepo kuwepo mkuu
 
Mkuu Shark vipi hii gari uliinunua? naomba nisaidie kuhusu ugumu wa upatknaji spea maana na mimi niliwahi kuifikiria ila bado sijaichuku -thanx
 
Nashauri agiza TOYOTA utapata zenye CC hiyo ya 1300 kama vile VITZ..zinaanzia 900-1300, Starlet zinaanzia 1000-1500CC, Raum zipo za 1300-1490CC, Fun Cargo zipo za 1300-1500CC, DUET zipo 900-1300CC. Tazama zaidi spares ndio gari mkuu wangu otherwise itakugharimu labda spare zingine ufuate Nairobi au Japan kwenyewe.
 
Hahahaha nilivyoona tu kichwa cha huu uzi nikajua tu lazima wadau mtamushauri ndg yetu asijejikuta anaangamia bila ye kujua. Kweli Toyota ndo kila kitu kwa maana ya running cost japo initial cost imechangamuka kidogo. Ni kweli baada ya muda spare zitakuwepo madukani lakin take your time and think what if you get an accident na ukaambia windscreen au side mirror, tired end or ball join or any of mechanical issues..friend hapo ndo utakuta gari inaozea uani.
 
TAX RATES
NON - UTILITY VEHICLES
C.C
I/DUTY
E/DUTY
EXA
VAT
0-1000
25%
-
20%
18%
1001-2000
25%
5%
20%
18%
2001 and above
25%
10%
20%
18%

Hello wakubwa,kutokana Gharama za mafuta kuzidi kupanda kila siku nimeamua kupumzisha SUV yangu na kuagizia Mazda Demio ya 2003,CC 1,300CIF US$ 2,100Naomba usaidizi wa ukokotozi wa gharama zote za bandari, tra, agency fee n.k.SUV nliichukulia showroom hapa bongo, hivyo michakato hiyo sikuipitia
kuna watu huwa wanafikiri gari ni toyota tu, hata mimi zamani nilikuwa nafikiri simu lazima iwe nokia. anyway toyota wana spare mpaka za buku jero kwa sababu ni rahisi kuzifeki na vile vile used zipo kibao na pia za wizi zipo. lakini mazda pia spare zipo, ukikosa mkoani agiza dar arafu ni genuine, the fact ni kwamba gari zote za japan spares zipo sema tu labda bei.

back to the topic mimi nimeingiza demio ya 2003 ina kama mwezi now inafanya poa tu mafuta inanusa,ndani mufindi kama kawa, CIF ilikuwa $ 2400. kwa sababu ya uchakavu wa mwaka 1, nimelipa kodi jumla 3,300,000 so mpaka nimeikalia imechukua jumla 8,250,000/= kitu mang'anyu kipya km 31,000 tu. so usiogope, yani kuna window 8 arafu kusiwe na sight mirror ya mazda wabongo bana,kwanza mi sijawahi kuona juu ya mawe zaidi ya gx 100 na corola tehe tehe,
 
  • Thanks
Reactions: cdc

hehehehehe furahia tu omba isipate ubovu..........kuna jamaa yangu mwezi wa tatu sasa anadandia lifti na kupigana vikumbo na daladala kisa mazda kifaaa mpaka aagize japan...... Kumbuka hata mafundi pia kuwapata walobobea kwenye mazda nayo issue
 
MH! mazda ipi hiyo Mkuu?? demio spare zipo, labda kama huyo jamaa yako ana zile mazda za kutoka USA (mazda 2,mazda 6,cx5 etc.) system ya haya magari madogo ya front drive hazitofautiani sana ni suala la kupata fundi mzuri tu, sema labda tatizo liwe gharama. na siku zote ukiacha ajali gari huwa haiaribiki vitu vyote kwa pamoja, sema wengi wetu huwa tunapuuzia kufanya service so mwisho wa siku kitu kimoja kinaambukiza kingine then gari hiyoo inaatamia.
 
Back
Top Bottom