LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,168
- 27,209
Habari zenu wapendwa. Sisi ni kikundi cha wadada wajasiriamali. Tunataka kutangaza huduma zetu kupitia vyombo vya habari. Tunadhani njia nzuri itakuwa ni kwa kufanya press conference. Tunataka habari yetu iandikwe kwenye magazeti na blogs mbalimbali za kitanzania. Tunaomba mtu yeyote mwenye ufahamu na taratibu plus gharama za kufanya press conference atufahamishe. Tunatanguliza shukurani zetu za dhati kwenu.