Gharama za kuchinba Bwawa la kufugia samaki

Ndamwe

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
203
123
Wapendwa, jamani naomba kama kuna mwenye utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba bwawa ka kufugia samaki lenye ukubwa wa takribani sq meter 1200 anijuze. nataguliza shukrani wanajamvi
 
na mimi nasubiri ushauri hapahapa mkuu.................. manake na mie nina mpango kama huo....................
 
asante kwa kuuliza...kama vile ulijua nami natafuta information hiyo. ntapita kucheki majibu ya wataalam
 
Nimeambatanisha kijarida chenye muongozo jinsi ya kujenga kisima na ufugaji bora wa samaki.

Gharama za ujenzi ziko ukurasa wa 28 zipo kwa fedha ya Kenya na US Dollar, bei hizi ni za mwaka 2007, unaweza kuchukua gharama hizi kisha zidisha mara 19.9, ambacho ni kiwango cha inflation kwa nchi ya Tanzania kwa sasa.
 
mkuu majimoto, ...............thanks a lot................ sasa naona utajiri unanukia.......................
 
Nkuu majimoto na wadau wemgine, asante sana kwa msaada wenu, God bless! Sasa kazi kwetu
 
Wapendwa, jamani naomba kama kuna mwenye utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba bwawa ka kufugia samaki lenye ukubwa wa takribani sq meter 1200 anijuze. nataguliza shukrani wanajamvi

mkubwa garama ya uchimbaji inategemea na sehemu ulipo.,na usamani wa pesa ulivyo.mie nilichimba bwawa la kuanzia lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa gharama isiyo zidi laki mbili.
 
mkubwa garama ya uchimbaji inategemea na sehemu ulipo.,na usamani wa pesa ulivyo.mie nilichimba bwawa la kuanzia lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa gharama isiyo zidi laki mbili.

Asante kwa dokezo la bei. Ulichimba kwa kutumia watu au mashine (kijiko)?
 
Wapendwa, jamani naomba kama kuna mwenye utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba bwawa ka kufugia samaki lenye ukubwa wa takribani sq meter 1200 anijuze. nataguliza shukrani wanajamvi

umeshachimba bwawa mkuu?
 
nimevuna mara tatu tangu nianze.moja ya mitandao inayozungumzia mambo yahusuyo samaki (www.sarnissa.org)wanashauri kuvuna pindi samaki anapofikia marketing size.
Ahsante, ningekupenda utupe uzoefu wako mkuu juu ya wastani wa uzito wa samaki wakati wa kuvuna; ulivuna baada ya miezi mingapi; ulikuwa unalisha chakula cha aina gani; je, ulivuna kiasi gani na chakula ulitumia kiasi gani mwanzo wa kufuga mpaka unavua; vifaranga ulitoa wapi. Utatupa mwanga sana. Thank you.
 
Hivi kweli hii biashara inalipa manake Kuna mtu anataka aingie ubia na mm kuhusu hii business ila kwakuwa mm niko nje ya nchi si kutilia manani ila naona watu wametoa macho ngoja na mm niihangaikie
 
Back
Top Bottom