Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Voda genge la wahuni nawachukia kama vyama vya kufa na kuzikana
 
Voda wako vizuri kwenye kutunza pesa zetu... Ila kwenye internet tumia halotel tuu
 
Dar super uni walikua wanatoa 1GB kwa buku ila juzi mambo yamechange ni 500mb..voda wamevurugwa

Alafu walivyo wahuni,menyu ya kwanza ikawa inasoma inatoa 1GB kwa buku kam kawa,ila kiualisia wakawa wanatoa mb 500 tu..sasa juzi ndo wme update menyu baada ya kutuibia
 
Huko halotel sindo 1.5 gb kwa buku 2?

Mim sjaona pakukimbilia bado [emoji3]
 
Karibu zantel mkuu
 
Halotel nataka kuwahama wanakula bundle kama maji yanavyotoka bombani ...kwa kifupi wananikomeshaaaa nawaza nihamie ttcl labda
 
Weeeeeee labda kwa wenye simu za 2g Hahahahahahaha sisi wa 4g ni kiamaaaa halotel sio watu
 
Mi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogo
Mimi ninayo ya chuo 500 mb 400 mb 100 YouTube 300 za kawaida .....na zinaliwa vibaya ...wakikwambia umebakiwa na mb 5 uchukui sec 60 zimeisha
 
aisee nikajua peke angu. Nyie Vodacom Tanzania mbona mmepoteza maana halisi ya DAR SUPA UNI jamani.!! nawahama naenda halotel bakini na hao wataonunua 500mb kwa 1000TSH wakati wenzenu 1000TSH unapata GBs kwa siku tatu.
Tafuta mtandao mwingine huku halotel tuliopo tu nataka kukimbia
 
Aisee mnaotumia voda kazi kwenu sisi wengine hakatwi mtu
 
nihamie airtel sema nao dabo bando mpaka ununue kwa airtel money afu timiza wananidai kama elfu 20 hivi nikiweka tu pesa wanakata hhahhahah ngoja nikasajiri lain ya tigo tu.....
 
Hao halotel mnao wasifu nao ni wezi tu demu wang kila baada ya siku3 anataka bando la efu2 nishamchoka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…