Hata kama Muhongo angekuwa tajiri , HAYA NI MATUMIZI YA KISHAMBA SANA ! asante mkuu yericko kwa kufichua ubadhilifu wa kishamba sana kama huu .
yakijini ni yapi?
Hata kama Muhongo angekuwa tajiri , HAYA NI MATUMIZI YA KISHAMBA SANA ! asante mkuu yericko kwa kufichua ubadhilifu wa kishamba sana kama huu .
kwangu mimi napata shida kidogo kwa nini kaka mkubwa anaendelea kumshikilia huyu prof. kwenye comment yangu ya kwanza nilisema ya kuwa kuna siri gani hasa kwenye suala la hili la escrow? kiukweli tunaomba mkuu wa kaya atende haki kama alivyofanya kwa wengine wote kwani kutofanya maamuzi katika suala la huyu jamaa kunatupa picha ambayo yeye mwenyewe anaweza kuwa ni sehemu ya sakata hilo
Gari ya polisi kuvishwa matairi 4 nao ufisadi.
kujazwa mafuta ya kucover km zote alikopita ni ufisadi.
watu kulipwa posho kwa ziara yote sh laki tano ufisadi,hiyo laki tano ukiigawa kwa siku za ziara unakuta perday wamepewa labda elfu tano tano.
sasa mwandishi unamtoaje dar mpaka huko vijijini na usimpe pesa ya kujikimu?.
hii habari ni pointless.
kwangu mimi napata shida kidogo kwa nini kaka mkubwa anaendelea kumshikilia huyu prof. kwenye comment yangu ya kwanza nilisema ya kuwa kuna siri gani hasa kwenye suala la hili la escrow? kiukweli tunaomba mkuu wa kaya atende haki kama alivyofanya kwa wengine wote kwani kutofanya maamuzi katika suala la huyu jamaa kunatupa picha ambayo yeye mwenyewe anaweza kuwa ni sehemu ya sakata hilo
........inasemekana ndio ameshatenda haki tayari..prof Muhongo hana kosa ndio maana kaachwa aendelee na kazi
Kama wewe ulivyopoteza muelekeo wa ITV mkoa wa mara
Wewe ni kilaza
nimemdharau sana MUHONGO .
Ipp na Muhongo vita ya nini?
Nishajua nyie wapumbavu ndio mlivyo,kumbe unamtafuta mtumishi wa ITV? Badala ya kujadili issue unajadiri watu. Hovyo kabisa
Tulia tu wakushughulikie mdogo wangu matusi ya nini?kama umekula hela ya nchi kutoka kwa muhongo lazima uzirudishe