Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

Yericko Nyerere wewe n noma, intelligence yako ni Kali kuliko TISS. Hizi data pamoja na zile data za white house naanza kuamini wewe ni TISS ulie elimika. Good job.
 
Last edited by a moderator:
...

Namwingine alikuwa Bilila wakati Tanapa wana mahema ya bure !!!
 
Hayo Mapesa yatakua ni yaleee.. kutoka tegeta escrow account
 
Tunahitaji ushahidi wa haya uliyoleta hapa. Kipindi hiki ambapo Prof. Muhongo ana uadui na baadhi ya watu ni rahisi sana kuweka uzushi humu.
 
kwangu mimi napata shida kidogo kwa nini kaka mkubwa anaendelea kumshikilia huyu prof. kwenye comment yangu ya kwanza nilisema ya kuwa kuna siri gani hasa kwenye suala la hili la escrow? kiukweli tunaomba mkuu wa kaya atende haki kama alivyofanya kwa wengine wote kwani kutofanya maamuzi katika suala la huyu jamaa kunatupa picha ambayo yeye mwenyewe anaweza kuwa ni sehemu ya sakata hilo
 
UKAWA huko ni kutapatapa; mbona hamtuambii gharama za viongozi wenu pamoja na kugharamia waandishi wa IPP media ili kila siku waandike habari za kumponda Profesa Muhongo pamoja na serikali ya TZ! Mwaka huu kiama ya CDM na mbeleko yenu UKAWA kimewadia
 
Muhongo amechukua ulinzi wa jeshi la polisi kwa kuhofia kupigwa na wananchi waliodai pesa za escrow,juzijuzi tu hapa wananchi wa musoma mjini walimkimbiza wakidai arudishe hela za escrow akakimbia na kuacha uji aliokuwa anakunywa pale mara dishes,video iliwekwa hapa jf na Mohamedi Mtoi
 
.... Watanzania Ni Wajinga Sana, Cha Mjinga Huliwa Na Mwelevu. Muhongo Anautumia Usomi Wake Vizuri Kula Mali Za Wajinga. Hongera Sana Muhongo.
 
Muhongo amechukua ulinzi wa jeshi la polisi kwa kuhofia kupigwa na wananchi waliodai pesa za escrow,juzijuzi tu hapa wananchi wa musoma mjini walimkimbiza wakidai arudishe hela za escrow akakimbia na kuacha uji aliokuwa anakunywa pale mara dishes,video iliwekwa hapa jf na Mohamedi Mtoi

hapana Mkuu. Muhongo yupo sahihi kwa vile adui wake Reginald Mengi ametoa fedha nyingi kwa ajili ya watu watakaofanikisha kukatwa kichwa cha profesa muhongo. Taarifa zipo
 
Tunahitaji ushahidi wa haya uliyoleta hapa. Kipindi hiki ambapo Prof. Muhongo ana uadui na baadhi ya watu ni rahisi sana kuweka uzushi humu.

.... Kwani Hapa Ni Mahamakani? Nenda Mahakamani
 
Products za JK ni kama JK mwenyewe.

Kwenye IT wansema,"Garbage in,garbage out".
 
Hivi Yerico Nyerere Ndo Nani? Ni Yule Mtoto Haramu Wa Mwalimu?
Nauliza Tu!!
 
Muhongo anaonyesha jeuri ya dhahiri kabisa maana aliyemteua Hana cha kumfanya.......sisi wengine ni Nani hata ahofie kufanya hayo anayofanya,endelea Muhongo kwanza huna cha kupoteza,ni lini ulipanda jukwaani ukaomba kura?
 
hapana Mkuu. Muhongo yupo sahihi kwa vile adui wake Reginald Mengi ametoa fedha nyingi kwa ajili ya watu watakaofanikisha kukatwa kichwa cha profesa muhongo. Taarifa zipo

.... Safi Sana Mtetezi Wa Wezi, Hata Tibaijuka Na Werema Uliwatetea Sana Lakin Wako Wapi, Hata Huyu Mbwa Mda Wake Utafika Tu.
 
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi katika ziara ya dalali wa wezi nchini Prof Muhongo kumebainika ufujaji mkubwa katika wizara hiyo kwa ziara ya waziri huyu katika sherehe za krismasi na mwaka mpya.

Kwa upande wa taarifa zilizonaswa ndani ya jeshi la Polisi mkoani Mara nikuwa katika kibali cha tarehe 24 Dec gate pass number 1776857, Muhongo aliomba ulinzi toka jeshi la polisi kisha akaambiwa jeshi halina mafuta ya mchezo mchafu, kuona hivyo Muhongo akaamua kugharimia mafuta na matengenezo ya magari ya polisi na kuwalipa polisi wote atakaoambatana nao katika ziara yake.

Nyaraka zinaonyesha jeshi la polisi lilikabidiwa mafuta ya dizeli lita mia tisa (900) kwaajili ya magari mawili yaliyokuwa yakiongoza msafara huo, Matairi manne mapya kwa ajili ya gari aina ya Toyota Land cruiser, T 381 BQP, Blue ya Polisi.

Malipo hayo yamefanyoka Central store ya Musoma power station, Gate keeper anaitwa Musa anakiri kupitisha, maana ni order ya wizara, Escort ya magari mawili na askari kumi walilipwa posho zao laki tano kila mmoja. Pia Waandishi wa habari Kasoro wa IPP media, walilipwa laki Tatu kwa kila Mwandishi kwa kila story nzuri iliyotoka, Blogger pia walialikwa.

Kula na kulala kwa wote ilikuwa juu ya wizara(Muhongo.

Musoma walikaa Penisula hotel, Tarime walikaa Goldland Hotel, Serengeti walikaa Giraffe hotel, Butiama na Bunda walienda na kurudi.

Hoja ya msingi nikuwa gharama hizi zinatoka katika bajeti ipi pale wizarani??

Hebu tujiulize!! Ziara ilikuwa ya kikazi au binafsi? Kama ni yakikazi yupo sahihi Prof, maana ndo utendaji kazi huo, huwezi kufanya kazi kwa kujifungia ofisini, bila kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
 
Muhongo anafuja pesa za Umma
ametumia kwa matumizi ya umma na si binafsi, mlitaka aende kwa mguu kwenye shughuli za umma?

Fisadi haachi asili yake!
ufisadi wake upo wapi?

Lazima afanye jeuri hana wa kumgusa.
hapo jeuri ipo wapi?

Issue sio kumuuma, muhimu ni ukweli kuwa hatakiwi kuwa ofisini. Anafanya safari za kujijenga binafsi kwa kutumia pesa za umma.

Kwa sababu gani hatakiwi kuwa ofisini?
 
Hivi Yerico Nyerere Ndo Nani? Ni Yule Mtoto Haramu Wa Mwalimu?
Nauliza Tu!!

.... Nasikia Ni Yule Baba Aliemzalisha Mama Yako Akakuzaa Wewe Halafu Mama Yako Mpaka Leo Hajakuonesha Baba Yako.
 
Back
Top Bottom