wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
poleni watanzania mnaotumika hamjui kuwa huo ni utumwa?
mtumikie bwana ili afurahi nafsi yake
mtumikie bwana ili afurahi nafsi yake
nimemdharau sana MUHONGO .
Hapo kuna vituko gani? Sijaona kituko chochote as long as anatimiza wajibu wake
Hata kama Muhongo angekuwa tajiri , HAYA NI MATUMIZI YA KISHAMBA SANA ! asante mkuu yericko kwa kufichua ubadhilifu wa kishamba sana kama huu .
Mbunge/ kiongozi wa kisiasa ni kiongozi wa wananchi unapohitaji ulinzi binafsi kwa kiasi kilichoelezewa kuna tatizo hasa Kama wewe si Raisi au Waziri Mkuu.Hivi kuhitaji ulinzi ni vibaya?
Mbunge/ kiongozi wa kisiasa ni kiongozi wa wananchi unapohitaji ulinzi binafsi kwa kiasi kilichoelezewa kuna tatizo hasa Kama wewe si Raisi au Waziri Mkuu.
Hana sifa ya kuendelea kutumikia ofisi za umma
Muhongo amekupa kiasi gani mlipozunguka naye?Japo hukuandika habari za kumsifia kwakuwa ulikatazwa na bosi wako wa IPP
Unapoteza mwelekeo
Ngoja aje kusema alitumwa na rais
Unapoteza mwelekeo
mengi atawaoa vijanaKwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi katika ziara ya dalali wa wezi nchini Prof Muhongo kumebainika ufujaji mkubwa katika wizara hiyo kwa ziara ya waziri huyu katika sherehe za krismasi na mwaka mpya.
Kwa upande wa taarifa zilizonaswa ndani ya jeshi la Polisi mkoani Mara nikuwa katika kibali cha tarehe 24 Dec gate pass number 1776857, Muhongo aliomba ulinzi toka jeshi la polisi kisha akaambiwa jeshi halina mafuta ya mchezo mchafu, kuona hivyo Muhongo akaamua kugharimia mafuta na matengenezo ya magari ya polisi na kuwalipa polisi wote atakaoambatana nao katika ziara yake.
Nyaraka zinaonyesha jeshi la polisi lilikabidiwa mafuta ya dizeli lita mia tisa (900) kwaajili ya magari mawili yaliyokuwa yakiongoza msafara huo, Matairi manne mapya kwa ajili ya gari aina ya Toyota Land cruiser, T 381 BQP, Blue ya Polisi.
Malipo hayo yamefanyoka Central store ya Musoma power station, Gate keeper anaitwa Musa anakiri kupitisha, maana ni order ya wizara, Escort ya magari mawili na askari kumi walilipwa posho zao laki tano kwa siku kila mmoja. Pia Waandishi wa habari Kasoro wa IPP media, walilipwa laki Tatu kwa kila Mwandishi wa siku kwa kila story nzuri iliyotoka, Blogger pia walialikwa.
Kula na kulala kwa wote ilikuwa juu ya wizara(Muhongo.
Musoma walikaa Penisula hotel, Tarime walikaa Goldland Hotel, Serengeti walikaa Giraffe hotel, Butiama na Bunda walienda na kurudi.
Hoja ya msingi nikuwa gharama hizi zinatoka katika bajeti ipi pale wizarani??